Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTURUKI YAKATAA PENDEKEZO LA RUSSIA KUHUSU IDLIB

Uturuki yakataa pendekezo la Russia kuhusu IdlibMsemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa hadi sasa nchi hiyo haijafikia natija ya kuridhisha kuhusiana na pendekezo la Russia la kusitisha mapigano katika mkoa wa Idlib nchini Syria.Akizungumzia suala hilo mbele ya waandishi habari siku ya Jumatano, İbrahim Kalın amesema kuwa duru kadhaa za mazunguzmo kati ya jumbe za Uturuki na Russia ambayo yamefanyika katika miji mikuu ya nchi hizo yaani Ankara na Moscow, kuhusu udharura wa usitishwaji vita katika mkoa wa Idlib hazijakuwa na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria. Wanajeshi wa Uturuki 33 wauawa katika mashambulio Idlib

Uturuki imeanza kulipiza kisasi kwa kuyalenga, kuyashambulia maeneo ya serikali ya Syria, vinasema vyombo vya habari vya Syria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Syria : Harakati za kijeshi za Uturuki mjini Idlib 'zinasubiri muda tu'

Kiongozi wa Uturuki ameionya Syria juu ya mashambulizi makubwa dhidi ya waasi katika jimbo la kaskazini.

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA ULINZI YA RUSSIA YATOA JIBU KWA CHOKOCHOKO ZA UTURUKI NDANI YA ARDHI YA SYRIA

Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya SyriaWizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.Taarifa iliyotolewa mapema leo na Wizara ya Ulinzi ya Russia imeashiria utumaji silaha kwa magaidi walioko katika eneo la Idlib, unaofanywa kutokea Uturuki na kueleza kuwa, hali ya wasiwasi inayoshuhudiwa Idlib imejitokeza baada ya magaidi kushambulia maeneo yaliyoko jirani na mkoa huo wa kaskazini magharibi mwa Syria.Taarifa hiyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama Uturuki yaitisha uamuzi kuhusu Gollum

Mahakama moja nchini Uturuki imeagiza uchunguzi ufanywe kubaini sifa za mhusika mmoja katika filamu za Lord of the Rings ajulikanaye kama Gollum.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pendekezo la urais lapingwa

PENDEKEZO la wajumbe wachache wa Bunge Maalumu la kutaka muda wa Rais kushika madaraka uongezwe kutoka miaka mitano hadi saba, limezusha mjadala. Juzi, maoni ya wajumbe wachache wa kamati namba...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaigomea UN pendekezo la kuruhusu ushoga

Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za ndani lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa chini ya mapendekezo ya pamoja ya dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Syria yakomboa vijiji Idlib

Wanajeshi wa serikali ya Syria, wakisaidiwa na Hezbollah, wamesonga mbele sana dhidi ya waasi, baada ya mashambulio makali ya ndege za Urusi.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla aridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia mifugo yao kenye Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.
Kutokana na hali hiyo Mbunge kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani