Serikali yaigomea UN pendekezo la kuruhusu ushoga
Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za ndani lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa chini ya mapendekezo ya pamoja ya dunia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Serikali kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo
NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetangaza mpango wake wa kuwaruhusu wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito kuendelea na masomo ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na ukatili wa kijinsia.
Akizungumza jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa jinsia yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Paulina Mkonongo, alisema ujauzito ni miongoni mwa sababu za wanafunzi wengi kuacha shule.
“Serikali yetu ina...
5 years ago
BBCSwahili31 May
Virusi vya Corona: Serikali ya Tanzania yatoa utaratibu wa michezo baada ya Magufuli kuruhusu iendelee
11 years ago
Mwananchi05 Jun
TOC yaigomea RT
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Kampuni yaigomea Manispaa Kinondoni
MGOGORO wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, kugawa eneo la Barabara ya Keko, Mikocheni ‘A’, Mtaa wa Tindiga kwa Kampuni ya Trans Auto Express Ltd, umeingia katika sura mpya....
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Pendekezo la urais lapingwa
PENDEKEZO la wajumbe wachache wa Bunge Maalumu la kutaka muda wa Rais kushika madaraka uongezwe kutoka miaka mitano hadi saba, limezusha mjadala. Juzi, maoni ya wajumbe wachache wa kamati namba...
5 years ago
CCM Blog22 Feb
UTURUKI YAKATAA PENDEKEZO LA RUSSIA KUHUSU IDLIB
10 years ago
MichuziMakalla aridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu
Kutokana na hali hiyo Mbunge kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Wazazi wapongezwa kuruhusu skauti
MKURUGENZI wa kampuni ya Tugeme Enterprises ya mjini Tukuyu wilayani Rungwe, Mbeya, Tumaini Mwaijande, amewapongeza wazazi nchini kwa uamuzi wa kuwaruhusu watoto wao kujiunga na Skauti licha ya kuwa wanafunzi....
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Ombi la kuruhusu uchunguzi kuhusu ajali