Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuruhusu wajawazito kuendelea na masomo

pg2 nov 26NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

SERIKALI imetangaza mpango wake wa kuwaruhusu wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito kuendelea na masomo ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na ukatili wa kijinsia.

Akizungumza jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa jinsia yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Paulina Mkonongo, alisema ujauzito ni miongoni mwa sababu za wanafunzi wengi kuacha shule.

“Serikali yetu ina...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DK. MAGUFULI AFIKIRIA KURUHUSU LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
BAADA ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na aina nyingine za ligi za michezo mbalimbali kusimama kutokana na janga la Corona, Rais Dk.John Magufuli amesema anaangalia uwezekao wa kuruhusu ligi kuendelea ili Watanzania wawe wanaangalia ligi hizo.
Ametoa kauli hiyo leo akiwa Chato mkoani Geita baada ya kumuapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria Dk.Mwigulu Nchemba ambapo Rais amefafanua anafikiria kwa siku zinazikuja aruhusu ligi iendelee angalau watu wawe...

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WAWASILI CHUONI KUENDELEA NA MASOMO


Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Chuo kikuu Mzumbe Bi. Rose Joseph akizungumza na Waandishi wa Habari waliofika Chuoni hapo kuona maandalizi ya mapokezi ya Wanafunzi.
Moja ya matanki yaliyosimikwa katika mazingira ya Chuo kikuu Mzumbe kwa ajili ya Wanafunzi kunawa mikono kabla na baada ya kuingia darasani.
Mkuu wa kituo cha Afya Chuo kikuu Mzumbe Dkt.Paschal Songoro akizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaonesha maandalizi ya mazingira ya kuwapokea Wahisiwa wa ugonjwa endapo watatokea

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana nchini kuendelea kufadhiliwa masomo ya sayansi

SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike, wanaosoma masomo ya sayansi katika ngazi ya uzamili na uzamivu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaigomea UN pendekezo la kuruhusu ushoga

Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za ndani lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa chini ya mapendekezo ya pamoja ya dunia.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.


Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali.Shule za msingi na sekondari kunufaika na upatikanaji bure wa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la ‘Vodacom Instant Schools portal’.Kampuni inayoongoza kidijitali nchini ya Vodacom Tanzania PLC inafanya kazi na shule pamoja na taasisi mbalimbali za elimu nchini kutoa huduma ya mafunzo ya dijitali bila gharama yoyote. Taasisi zilizonufaika na huduma hii ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Serikali ya Tanzania yatoa utaratibu wa michezo baada ya Magufuli kuruhusu iendelee

Serikali ya Tanzania imetoa wito wa kuzingatiwa kwa mwongozo wa Afya michezoni, wakati Ligi ya soka na michezo mingine itakaporuhusiwa kuendelea nchini humo kuanzia Kesho Juni Mosi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri kushindwa kudhibiti vifo vya wajawazito

SERIKALI imekiri kushindwa kudhibiti kwa kiwango kikubwa vifo vya wajawazito nchini jambo linalohatarisha zaidi maisha ya wanawake na kushindwa kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015. Kauli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali iwekeze masomo ya sayansi’

MPANGO wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa unaweza ukafanikiwa kuleta tija ya kimaendeleo katika sekta ya elimu nchini, iwapo serikali itawekeza zaidi katika masomo ya sayansi na hisabati shuleni. Pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani