Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi TTCL unatisha

MOHAMED HABIB JUMA MNYAA-MBUNGE MKANYAGENI-CUF,BOX 2124 ZNZ.Arodia Peter na Khamis Mkotya, Dodoma

UOZO na ufisadi ulioigubika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) uliwekwa hadharani bungeni mjini Dodoma jana. Hayo yalielezwa katika hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia.

Alisema utata katika umiliki na ukodishaji wa hisa za serikali, mikataba mibovu, madeni na baadhi ya vitu vilivyochangia kampuni hiyo kufilisika. Akisoma maoni hayo, Mohamed Habib Mnyaa alisema Serikali ilikodisha hisa 35 za TTCL kwa Kampuni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Urasimu serikalini unatisha

RAIS Jakaya Kikwete amesema urasimu uliopo kwenye sekta mbalimbali nchini ni jambo la kutisha.

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA UNGA WA JACK PATRICK UNATISHA

Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China. Na Mwandishi Wetu
BADO habari ya mjini ni skendo ya kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’ inayomtafuna Video Queen wa Bongo, Jacqueline Clifford Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ ambaye inadaiwa kuwa mtandao wake wa biashara hiyo ni wa kutisha, Ijumaa limetonywa. Jack Patrick. Habari kutoka kwa rafiki wa karibu wa Jack ambaye aliomba…...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MKAPA: MMOMONYOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA UNATISHA

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, amesema tatizo la mgongano wa maslahi miongoni mwa viongozi na watumishi wa umma ni tatizo ambalo Tanzania inakabiliana nalo hivi sasa. Kadhalika, amesema licha ya serikali kufanikiwa katika kuhakikisha maadili nchini yanazingatiwa, bado lipo tatizo ambalo limeonekana kutopewa uzito unaostahili. Alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua warsha ya kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria mpya ya kudhibiti mgongano wa maslahi miongoni mwa...

 

11 years ago

Bongo Movies

Hatari tupu! Utajiri wa MSANJA MKANDAMIZAJI UNATISHA! Diamond, Jide tupa kule. Tazama hapa

UTAJIRI wa komediani maarufu nchini  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi.

Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake.

HABARI MEZANI

Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo...

 

10 years ago

Habarileo

TTCL yafilisika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha KazauraKAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetangazwa kufilisika, kutokana na kutokuwa na mtaji baada ya mwekezaji, Kampuni ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, kushindwa kuwekeza kwa miaka 14.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani