Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZKID ATUA DAR, TAYARI KWA SHOO YAKE LEADERS LEO

Wizkid baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) usiku huu. Wizkid akisindikizwa na walinzi mara baada ya kuwasili Dar usiku huu. Warembo wakisubiri kumpokea Wizkid. Wizkid akiongea na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUTUA LEO NCHINI, TAYARI KWA SHOO YAKE JUMAMOSI HII DAR LIVE

Baadhi ya wanamuziki wa Malaika Music Band wakipozi kwa picha wakati wakimsubiri Bella kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo. Wanamuziki wa Malaika Music Band wakipozi na Mwandishi wa tovuti hii, Gabriel Ng'osha. PREZIDAA wa Malaika Music Band, Christian Bella, anatarajiwa kutua jijini Dar muda wowote kuanzia sasa akitokea nchini Sweden. Baadhi ya mashabiki pamoja na wasanii wenzake wa… ...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

10 years ago

GPL

TUNDA MAN AKIINGIA DAR LIVE TAYARI KWA SHOO

Tunda Man akiwasili Dar Live. Madansa wa Tunda Man wakiwasili Dar Live. Tundaman katika picha ya pamoja na madansa wake. Tunda Man akipozi kwenye 'Red Carpet' Peke…

 

10 years ago

CloudsFM

Ali Kiba atua Moshi kuangusha bonge la shoo leo Club Laliga

Mkali wa Bongo Fleva,Ali Kiba leo ataangusha bonge la shoo kwenye klabu ya Laliga mjini Moshi,mkoani Kilimanjaro kwa na leo itakuwa ni mwendo wa LIVE BAND leo Moshi patakuwa hapatoshi.

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWASILI MKOANI RUKWA LEO TAYARI KWA KUANZA ZIARA YAKE YA SIKU 21‏


Baadhi ya Wananchi na wanachama mbalimbali wakisubiri kumpokea katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege mjini Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo asubuhi.
Ndege iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ikiwasili katika uwanja wa ndege mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa mchana huu.…

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO V YAZINDULIWA LEO ZANZIBAR TAYARI KWA SAFRI ZA DAR ES SALAAM NA UNGUJA

 BOTI ya Kilimanjaro V ikishushwa katika Meli ya Thorco Clairvaux ikitokea Nchini Australia , boti hiyo ilishushwa nje kidogo ya Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar na tayari imeshazinduliwa rasmi kuanza safari zake. Picha na Haroub Hussein.

 BOTI ya Kilimanjaro V ikitua katika maji ya bahari ya Hindi leoBOTI ya Kilimanjaro V ikielekea gatini Malindi, Zanzibar, tayari kwa uzinduzi.

 

11 years ago

Michuzi

mpoki atua ujerumani tayari kwa sherehe za muungano jijini Berlin wikiendi hii

 Msanii Maarufu nchini Tanzania Mpoki a.k.a Muarabu wa Dubai ametua katika Jiji la Frankfurt na kuelekea moja kwa moja katika Jiji la Maraha Aschaffenburg ambapo atalala usiku mmoja na kuendelea na safari siku ya pili  kuelekea  Jiji La Berlin  ambapo atahudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa watanzania Ujerumani (U T U), Ngongamano la biashara pamoja na sherehe za muungano wa Tanzania.
Vyanzo vyetu vya habari vinanyetisha kwamba msanii huyo alitua  katika uwanja wa kimataifa  wa Frankfurt...

 

10 years ago

GPL

MANNY PACQUIAO ATUA LAS VEGAS TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA KIHISTORIA DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER

Manny Pacquiao akiwasalimia mashabiki wake waliofika kumpokea alipowasili katika Hoteli ya Mandalay Bay jijini Las Vegas jana usiku. Basi lililobeba wageni na timu ya walimu wa mafunzo wa Pacquiao likielekea Las Vegas jana mchana. Pacquiao akiwa amembeba mwanaye aitwaye Israel baada ya kushuka kwenye basi lake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani