Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER AITAMANI NDOA

Na Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke. Staa mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha kufanya ujana ambacho tayari ameshakipitia na sasa ni muda wa yeye kutengeneza familia. “Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WOLPER KUFUNGA NDOA YA SIRI

Imelda Mtema BAADA ya kuvishwa pete na mwanaume aliyedaiwa kuwa na mume wa mtu, raia wa Kongo, mwigizaji Jacqueline Walper ‘Wolper’ amesema kamwe watu hawatajua siku atakayofunga ndoa kwani amegundua watu wengi wana husda. Wolper alisema anaamini kuwa siyo kila mtu ana mapenzi ya dhati kwake hivyo atafunga ndoa ya kimyakimya ndipo baadaye atafanya sherehe.“Siku hizi wanga wengi watu watashtukia nimeshafunga ndoa sherehe...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Ndoa Yamtia ‘Uchizi’

CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi

Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu...

 

9 years ago

Vijimambo

UTATA : MWANAUME ALIYEMVALISHA PETE JACKY WOLPER ,PICHA YAVUJA AKIWA NA MKE WA NDOA

Juzi mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..Picha hii hapa chini!
CHANZO: UDAKU SPECIALLY

 

11 years ago

Mwananchi

Mserbia aitamani Yanga

Kocha wa zamani wa Yanga na SC Villa (Uganda), Srdjan Zivojnov amesema yuko tayari kuchukua jukumu la kuwafundisha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi aitamani Yanga Kagame

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani aitamani nafasi ya Kinana CCM

Matamanio ya wanasiasa wengi kwa sasa yako kwenye urais, lakini hali ni tofauti kwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, ambaye ameweka bayana kuwa nafasi ya juu kisiasa anayotamani ni kuwa katibu mkuu wa CCM.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwepo  na utata  mkubwa  kuhusu  urithi  wa  mali  za  marehemu  hasa  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke   zaidi  ya mmoja  na  hapohapo  watoto  wanaotokana  na  mama  tofauti.  Tumeshashuhudia  magomvi  makubwa  misibani   lakini  pia  tumeshuhudia  na  tunaendelea kushuhudia  utitiri  wa mashauri  kuhusu  mkanganyiko  wa  mali za marehemu ambaye  familia  yake  ni  ya watoto  wanatokana  na  mama  tofauti. Kutokana  na  hayo  kuna umuhimu  mkubwa  wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini

x

Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni  kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog.com

Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani