WOLPER KUFUNGA NDOA YA SIRI
![](http://api.ning.com:80/files/TxtLZ0aSbwwCXMUpt1UC1a6QDk33dUfqMmUSjZdJt*Xq-wpp00EGOnWrtPBcEDpwsYzlGhPrEVCjq5N7t*dtzv05b8T*Ysfj/wolper1131.jpg?width=650)
Imelda Mtema BAADA ya kuvishwa pete na mwanaume aliyedaiwa kuwa na mume wa mtu, raia wa Kongo, mwigizaji Jacqueline Walper ‘Wolper’ amesema kamwe watu hawatajua siku atakayofunga ndoa kwani amegundua watu wengi wana husda. Wolper alisema anaamini kuwa siyo kila mtu ana mapenzi ya dhati kwake hivyo atafunga ndoa ya kimyakimya ndipo baadaye atafanya sherehe.“Siku hizi wanga wengi watu watashtukia nimeshafunga ndoa sherehe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM19 Dec
MENINA KUFUNGA NDOA?
Msanii wa Bongo Fleva,Menina amepongezwa na mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao akiwa amevaa shela la harusi huku watu wakijiuliza huenda ameolewa kwa siri au anatarajia kufunga ndoa.
Baadhi ya mshabiki walimpongeza: sophybeiby @meninahladivah heee hongera ndo hata kunitonya mdogo wangu haya mwaya kila la kheri Nakupenda sana.
ramadhanijuma58 Umependeza...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
EMMANUEL OKWI KUFUNGA NDOA ''SOON''
Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba ya jijini Dar,Emmanul Okwi anatarajia kufunga ndoa mwezi huu nchini humo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema kuwa Okwi amepewa ruhusa ya kushughulikia masuala yake na hasa hilo la ndoa.
“Anatarajia kufunga ndoa mwezi huu, nafikiri itakuwa tarehe ishirini, ndiyo maana tumempa ruhusa.
Taarifa za kutoka Kampala zinaeleza, Okwi anamuoa mpenzi wake wa siku nyingi na maandalizi...
10 years ago
CloudsFM19 Dec
ELTON JOHN KUFUNGA NDOA
Mwanamuziki nguli wa nchini Uingereza,Elton John anatarajia kuolewa katika ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa siku nyingi aliyedumu naye kwa miaka 20,David Furnish.
Mwanamuziki huyo anatarajia kufunga ndoa mwezi Desemba 21,mwaka huu,Elton John ana umri wa miaka 67 na mpenzi wake ana umri wa miaka 52 wametangaza nia ya kufunga ndoa baada ya kuishi muda mrefu kama mume na mke.
Pamoja na kuwa baadhi ya nchi hazikubaliani na suala la kufunga ndoa kwa watu wa jinsia moja,lakini wanaume hao...
10 years ago
CloudsFM26 Sep
MSANII MABESTE KUFUNGA NDOA 'SOON'
MSANII wa Hip Hop Bongo,Mabeste anatajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye amezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendrick.
Kupitia mtandao wa Instagram Mabeste aliandika hivi:Wow..we are getting married soon..Mama Ken Nishike mkono nipeleke high level..Sayari nyingine juu bye devil.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuXeXGcKqoY9g7P3tjpfSuoQs6DjKdbQ3XFwQxjHd6KdXrwmm-iWddzv98fGGZ0g5Z07yNozs2qKvapUTStgSbH5/wolper.jpg)
WOLPER AITAMANI NDOA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzffExVNlSda4WSsS5BPndlYkmiMCF02Bb7vrh7cnIASWCwgRYR3SnxO6JFtKNlyrUDoga1foR6LlEXvFIG7IYi7/BabaHaji.jpg)
BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfAAjumKetDBeS*KK7ok*uzKAfbtzft9nubRLCkDaw*p90*Z9lGB2CUqi3KGyAwYRE9AGz1hpIqPOsxtKKMRtXsC/otilia.jpg)
OTILIA SASA KUFUNGA NDOA BOMANI