WWF yaijengea uwezo halmashauri ya jiji la Arusha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira (Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa halmashauri ya jiji la Arusha unaowajengea uwezo kuweka mipango inayoendana na mabadiliko ya tabianchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni Mratibu wa mradi wa nishati wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani, (WWF- Tanzania) Dk....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWWF YAIJENGEA UWEZO HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi
Mratibu wa mradi wa kudhibiti wanyama wakali kwa kutumia waya na mitii maalumu inayohimili ukame unaofadhiliwa na UNDP Dr. Maurus Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP wilayani Longido mkoani Arusha katika ziara yake ya siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....
5 years ago
MichuziCHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO
Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
Imeelezwa kuwa changamoto ya utoaji wa fedha za fidia kwa nchi zenye kuleta athari ya mabadiliko ya Tabianchi duniani kwa kiwango kikubwa imekuwa ni Tatizo hivyo inahitajika mjadala mpana kuokoa hali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa nchi changa duniani.
Hayo yamebainishwa kwenye mjadala wa kamati ya Kilimo Maliasili na Utalii ya bunge la Afrika mashariki na mbunge wa bunge hilo Josephine Lemoyan wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Mara baada...
10 years ago
MichuziWWF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA IDARA ZA HALMASHAURI YA MANSIPAA YA KINONDONI KMC JUU YA KUKABILIANA NA UENEAJI WA HEWA UKAA NA NISHATI JADIDIFU NCHINI
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
UNDP yakabidhi mradi wa dola za marekani 150,000 wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kijiji cha Chamwino
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.
Na Modewjiblog team, Chamwino
KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa...
5 years ago
MichuziASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA JIJI YAMPONGEZA RAIS JPM KWA HATUA ALIZOCHUKUA KUKABILIANA NA COVID 19
Kaimu Ofisa Afya wa Jiji la Tanga Hamza Maulidi akizungumza wakati akitoa elimu katika semina ya siku mbili inayotolewa kwa Wasaidizi wa msaada wa kisheria (Paralegals) kutoka halmashauri 11 zilizopo mkoani Tanga.
Kaimu Ofisa Afya wa Jiji la Tanga Hamza Maulidi akizungumza wakati akitoa elimu katika semina ya siku mbili inayotolewa kwa Wasaidizi wa msaada wa kisheria (Paralegals) kutoka halmashauri 11 zilizopo mkoani Tanga
Programu Meneja wa Shirika la TEWOREC Halima Jabiri Saguti...
11 years ago
Habarileo12 Dec
CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.