CHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO

Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
Imeelezwa kuwa changamoto ya utoaji wa fedha za fidia kwa nchi zenye kuleta athari ya mabadiliko ya Tabianchi duniani kwa kiwango kikubwa imekuwa ni Tatizo hivyo inahitajika mjadala mpana kuokoa hali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa nchi changa duniani.
Hayo yamebainishwa kwenye mjadala wa kamati ya Kilimo Maliasili na Utalii ya bunge la Afrika mashariki na mbunge wa bunge hilo Josephine Lemoyan wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Mara baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
WWF yaijengea uwezo halmashauri ya jiji la Arusha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi


10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi
Mratibu wa mradi wa kudhibiti wanyama wakali kwa kutumia waya na mitii maalumu inayohimili ukame unaofadhiliwa na UNDP Dr. Maurus Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP wilayani Longido mkoani Arusha katika ziara yake ya siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....
9 years ago
MichuziMANISPAA YA ILALA WASHIRIKIANA NA FORUMCC KUANZISHA MFUKO WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI.
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda anasema baada ya kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya wadau wa mazingira, mfuko huo utaanza mara moja kabla ya mwaka 2015 kumalizika
Wakati Manispaa ya Ilala ikiwa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi yafanyika singida
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Maaendeleo hayatapatikana bila kutatua changamoto za mabadiliko ya tabianchi-Jean-Pierre Poncet
Mwakilishi wa Ufaransa katika UNESCO, Jean-Pierre Poncet akifafanua jambo kutoka kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano maalum uliofantika leo makao makuu ya UNESCO, Paris.
Na Andrew Chale, modewjiblog- Paris
Mwakilishi wa Ufaransa katika UNESCO, Jean-Pierre Poncet amesema kuwa, Maaendeleo hayatapatikana bila kutatua changamoto za mabariko ya tabianchi hali ambayo inazikumba nchi mbalimbaali duniani ikiemo Tanzania na Afrika Mashariki.
Mwakilishi huyo...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
UNDP yakabidhi mradi wa dola za marekani 150,000 wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kijiji cha Chamwino
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.
Na Modewjiblog team, Chamwino
KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa...