Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaendeleo hayatapatikana bila kutatua changamoto za mabadiliko ya tabianchi-Jean-Pierre Poncet

 

 

 

IMG_8112Mwakilishi wa Ufaransa katika  UNESCO,  Jean-Pierre Poncet  akifafanua jambo kutoka kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa mkutano maalum uliofantika leo  makao makuu ya UNESCO, Paris.

Na Andrew Chale, modewjiblog- Paris

Mwakilishi wa Ufaransa katika  UNESCO,  Jean-Pierre Poncet   amesema kuwa, Maaendeleo hayatapatikana bila kutatua changamoto za mabariko ya tabianchi hali ambayo inazikumba nchi mbalimbaali duniani ikiemo Tanzania na Afrika Mashariki.

Mwakilishi huyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi yafanyika singida

  Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCCS),  Prof. Pius Yanda akifungua semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi inayoshirikisha wajumbe kutoka maeneo kame inayofanyika mjini Singida.  Mhadhiri na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Emma Liwenga akitoa mada kuhusu maenedelo ya mradi wa mazingira kwenye maeneo kame  unaonedeshwa na kituo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha...

 

5 years ago

Michuzi

CHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO


Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
Imeelezwa kuwa changamoto ya utoaji wa fedha za fidia kwa nchi zenye kuleta athari ya mabadiliko ya Tabianchi duniani kwa kiwango kikubwa imekuwa ni Tatizo hivyo inahitajika mjadala mpana kuokoa hali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa nchi changa duniani.
Hayo yamebainishwa kwenye mjadala wa kamati ya Kilimo Maliasili na Utalii ya bunge la Afrika mashariki na mbunge wa bunge hilo Josephine Lemoyan wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Mara baada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabadiliko ya tabianchi kuathiri umeme

MABADILIKO ya tabianchi yametajwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...

 

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tovuti mabadiliko tabianchi yazinduliwa Dar

KATIKA kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), imezindua tovuti maalumu ili kuweza kupambana na hali hiyo duniani. Akizungumza katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Ukosefu mipango huchangia mabadiliko tabianchi’

MKURUGENZI wa Shirika la Maendeleo la Mazombe Mahenge (MMADEA), Raphael Mtitu, amebainisha kuwa ukosefu wa mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji ni kikwazo katika utekelezaji wa shughuli za...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mabadiliko ya tabianchi kuathiri uzalishaji umeme


Na Greyson Mwase, Morogoro
MABADILIKO ya tabianchi yanachangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi, imeelezwa.
Hayo yalisemwa  jana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, alipofungua mafunzo  yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais– Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro.
Mhandisi Mwihava...

 

10 years ago

Mwananchi

Nishati jadidifu ni dawa ya mabadiliko tabianchi

Leo Tanzania inaanza kuadhimisha Siku ya Nishati Jadidifu kitaifa ikiwa ni moja ya njia za kuhamasisha matumizi ya nishati hiyo muhimu kwa sasa ulimwenguni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani