MANISPAA YA ILALA WASHIRIKIANA NA FORUMCC KUANZISHA MFUKO WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI.
MANISPAA ya Ilala kwa kushirikiana na ForumCC wako katika hatua za mwisho za uanzishaji wa Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ukiwa na lengo la kukusanya pesa za kukabiliana na changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika eneo hilo
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda anasema baada ya kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya wadau wa mazingira, mfuko huo utaanza mara moja kabla ya mwaka 2015 kumalizika
Wakati Manispaa ya Ilala ikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
FORUMCC: MAFURIKO DAR ES SALAAM NI USHAHIDI WA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI

Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kupoteza maisha mpaka sasa kutokana mafururiko hayo ambayo yameibua hisia na maswali mengi kutoka kwa...
10 years ago
Dewji Blog10 Jan
FORUMCC yatoa mrejesho wa yaliyojiri kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20
Taasisi isiyo ya kiserikali ya ForumCC imetoa mrejesho wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia nchi duniani wa COP20 uliofanyika mwezi Desemba jijini Lima nchini Peru mwaka jana.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijni Dar es salaam Afisa Miradi wa ForumCC Fazal Issa amesema wanachama wa mkutano huo wamekubaliana kusaini mkataba mwaka huu jijini Paris Ufaransa wenye lengo la kupunguza gesi joto duniani na kusaidia upatikanaji wa rasilimali fedha na teknolojia katika...
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Semina ya Wabunge Marafiki wa Mazingira kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (Climate Change)
.jpg)
11 years ago
GPLMKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziMkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam
5 years ago
Michuzi
CHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO

Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
Imeelezwa kuwa changamoto ya utoaji wa fedha za fidia kwa nchi zenye kuleta athari ya mabadiliko ya Tabianchi duniani kwa kiwango kikubwa imekuwa ni Tatizo hivyo inahitajika mjadala mpana kuokoa hali ya athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa nchi changa duniani.
Hayo yamebainishwa kwenye mjadala wa kamati ya Kilimo Maliasili na Utalii ya bunge la Afrika mashariki na mbunge wa bunge hilo Josephine Lemoyan wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Mara baada...
5 years ago
Michuzi
ZUNGU AMEWATAKA WATAALAMU KUFANYA TATHMINI YA MAZINGIRA KUJUA MADHARA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akitoa maelekezo alipotembelea eneo la bahari kusikiliza na kutatua mgogoro uliotokana na changamoto za kimazingira kati ya wamiliki wa hoteli ya Wellworth na White Sands jijini Dar es Salaam wakituhimiana kujenga ukuta unasababisha mmonyoko wa udongo na...
5 years ago
Michuzi
ASASI ZA KIRAIA ZAUNGANA WILAYANI ILALA KWA AJILI YA KUJENGA NGUVU YA PAMOJA ILI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI
KUENDELEA kukithiri kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi wilayani Ilala jijini Dar es Salaam , asasi mbalimbali za kiraia wilayani humo zimeungana kwa ajili ya kujenga nguvu ya pamoja kuhakikisha wanakabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia yanchi.
Miongoni mwa nguvu wanayotaka kujenga katika wilaya hiyo ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa wa kutosha kwa jamii kuhusu mabadiliko ya tabianchi ambapo watapata nafasi na uwezo wa kuripoti...