Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM waibana Halmashauri ya Jiji Arusha

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuhakikisha miradi yote iliyokuwa imeanza kujengwa inakamilika kwa wakati bila ya kuwa na visingizio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI


Na.Ashura Mohamed -Arusha

Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.

Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.


Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...

 

9 years ago

Dewji Blog

WWF yaijengea uwezo halmashauri ya jiji la Arusha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira (Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa halmashauri ya jiji la Arusha  unaowajengea uwezo kuweka mipango inayoendana na mabadiliko ya tabianchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni  Mratibu wa mradi wa nishati wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani, (WWF- Tanzania) Dk....

 

9 years ago

Michuzi

WWF YAIJENGEA UWEZO HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha, Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira (Earth Hour City Challenges) kwa watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha unaowajengea uwezo kuweka mipango inayoendana na mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako. Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATAKA UWEKEZAJI KWENYE VILIMA Na MAENEO YA WAZI

Na Ahmed Mahmoud ArushaHalmshauri ya Jiji la Arusha imeendelea kusimamia sheria za ulimaji wa mahindi na mifugo kwa maeneo ya katikati ya Jiji Ila nje ya mji bado sheria hiyo haijafika huko mfano Kata ya Teret.
Aidha Baraza hilo likataka Taarifa za mikopo ilivyotolewa na fedha zilizorejeshwa na kuainishwa vikundi na kundi maalumu walionufaika na mikopo ya vijana na kinamama.
Akiongea kwenye kikao hicho Diwani wa kata ya Muriet Mbise alisema taarifa hiyo ipo sawa hivyo waendelee na mjadala...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS MWENZA WA CCM BI. SAMIA SULUHU HASSAN ALITIKISA JIJI LA ARUSHA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais  kwa tiketi ya CCM Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge jijini humo. Sehemu ya wananchi waliohudhuria  katika mkutano huo hii leo Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa anacheza ngoma  iliyokuwa inapigwa na wakina mama waliohudhuria mkutano huoMgombea mwenza wa nafasi ya urais Mhe Samia Suluhu Hassan akisaini vitabu vya wageni kabla ya kuanza mkutano huo viwanja vya Samunge jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yataka amani, Chadema waibana polisi

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wapinzani wao katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea katika Jimbo la Kalenga kufanya siasa za amani.

 

11 years ago

Habarileo

Wachimbaji, halmashauri ya jiji wazozana

KUANZA kutumika kwa sheria inayowataka wachimbaji wa mawe, mchanga na kokoto kuwa na kibali cha kufanya shughuli hiyo, kumezua mzozo. Mzozo huo ni kati ya wachimbaji wadogo mkoani hapa na halmashauri ya jiji. Juzi takribani wachimbaji wadogo wagogo 2,000 wakiwa na madereva wa malori yanayobeba mchanga, kokoto na mawe, waliandamana hadi eneo la Uhindini, zilipo ofisi za halmashauri ya jiji na kupeleka malalamiko yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri ya Jiji Dar ‘yazinduka usingizini’

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza rasmi usimamizi wa maegesho ya magari jijini Dar es Salaam uliokuwa ukifanywa na Halmashauri za Manispaa Ilala, Kinondoni na Temeke.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani