Xabi Alonso amefikisha mechi hizi za UEFA!
Kiungo wa zamani wa Liverpool na Real Madrid mkongwe ambaye kwa sasa anachezea Bayern Munich, Xabi Alonso jana amefikisha mechi ya 100 ya ligi ya mabingwa barani Ulaya. Hata hivyo mechi hiyo ya raundi ya 16 ya UEFA haikuwa nzuri kwake kwani alioneshwa kadi nyekundu zikisalia dakika 25 mechi kumalizika.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-L0mE923_GRo/VgpFQcTo2gI/AAAAAAAH7ro/qDjxCGgCPFQ/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MECHI ZA UEFA USIKU HU
![](http://2.bp.blogspot.com/-L0mE923_GRo/VgpFQcTo2gI/AAAAAAAH7ro/qDjxCGgCPFQ/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-r7mHU_aNmyA/VgpFQaNk2fI/AAAAAAAH7rs/7wH09Xh9Pxg/s640/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-K4-qUiz-pgo/VgpFQXdx-CI/AAAAAAAH7rw/UJy_sPiXIAI/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
UEFA:Hatutambui mechi za Crimea
9 years ago
Bongo525 Nov
Matokeo ya mechi za Uefa Champions League
![mtt](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtt-300x194.jpg)
Michuano ya vilabu bingwa barani Ulaya iliendelea jana November 24 usiku kwa michezo nane ya hatua ya makundi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali barani Ulaya ambapo michezo hiyo ilikuwa kutoka kundi E, F, G pamoja na H.
9 years ago
Bongo526 Nov
Matokeo ya mechi za UEFA champions league November 25
![2ED0190300000578-3334161-image-a-15_1448489796212](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2ED0190300000578-3334161-image-a-15_1448489796212-300x194.jpg)
Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya makundi iliendelea tena usiku wa Jumatano November 25, 2015 kwenye viwanja mbali mbali ikizikutanisha timu za kundi A, B, C na D. Michezo hiyo ilimalizika kwa matokeo tofauti tofauti,
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Man Utd kumkosa Rooney mechi ya Uefa
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
UEFA kuamua mechi ya Man City na CSKA
9 years ago
Bongo501 Oct
Haya ni matokeo ya mechi za UEFA Champions League
9 years ago
Bongo510 Dec
Arsenal yaingia 16 bora, matokeo ya mechi za UEFA Dec 9
![2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F379FD000000578-0-image-a-69_1449695516399-300x194.jpg)
Michezo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea tena usiku wa December 9 kwa mechi nane baada ya makundi ya E, F, G na H, michezo hiyo ilichezwa wakati timu 10 kati ya 32 zikiwa zimeshajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya 16 bora hivyo nafasi 6 pekee ndio zilikuwa zinawaniwa.
Klabu ya Arsenal ambayo ilikuwa nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi F, nafasi yake ya kuendelea hatua ya 16 bora ilikuwa mikononi mwake yenyewe, ilifanikiwa kuifunga Olympiakos ya Ugiriki...
9 years ago
Bongo530 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za UEFA zilizochezwa Jumanne hii