Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI LEO KATIKA UZINDUZI WA TV1

Mc akifungua sherehe ya uzinduzi huo. CEO wa TV1, Marcus Adolsson akizungumza na waandishi wa habari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO

 Mgombea Urais wa Ukawa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akizungumza wakati wa kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) lililofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) 
 Mke wa mgombera urais wa Ukawa Regina Lowassa akifungua kongamano la Bavicha. 

 Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha akitumbuiza katika kongamano hilo.
 Msanii wa Bongo Movie Jackline Wolper akiwahamasisha wanawake waliohudhuria kongamano hilo.

 Msanii wa Bongo...

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO KATIKA MAONESHO YA KARIAKOO AT COCO BEACH


Maduka ya bidhaa mbalimbali.    Muuzaji wa cd  mbalimbali naye akisubiri mteja Mwandishi wa Global Publishers, Nyemo Chilongani akipewa maelekezo ya jinsi ya kununua bidhaa kupitia Tigopesa na mmoja wa mawakala…

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR

Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao. Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya. Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.…

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO UHURU MARATHON

Bendi ya jeshi la polisi ikitumbuiza. Wageni rasmi (kutoka kushoto) Mwenyekiti mstaafu wa BMT, Kanali Idd Kipingu, Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Habari na Michezo, Juliana yasoda, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala,  Mratibu wa Uhuru Marathon, Innocent Meleck. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani