Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yametimia, uchaguzi wafanyika kwa amani

UCHAGUZI Mkuu wa tano wa Tanzania tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, umefanyika kwa amani na utulivu kote nchini, na Watanzania wakipongezwa kwa ukomavu waliouonesha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini Burundi wafanyika kwa amani

 Wananchi wa Burundi leo wamepiga kura kumchagua Rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huo umefanyika katika mazingira ya amani ingawaje kwa upande wa jiji la Bujumbura wananchi walianza kujitokeza zaidi mchana Wananchi wakipiga kura Bujumbura  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega. Mawanamama akipiga kura yake  kituo cha Uchaguzi cha Ruhunja A  eneo la Rusagara katika jimbo la Gitega.Bango la wagombea nafasi ya Urais wa Burundi

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: MKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA USIKU HUU

 Mmoja wa waomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM, waliotinga tatu bora, John Magufuli akingia katika ukumbi wa Kisasa wa mikutano wa CCM, wakati wa mkutano mkuu wa CCM, uliofanya uchaguzi leo usiku wa kupata mgombea mmoja wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Picha nyingine zinazofuata ni za matukio mbalimbali ya mkutano huo mkuu maalum wa CCM. Kumradhi hazitakuwa na maelezo kutokana na muda, maelezo. Na kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Arusha awapongeza wadau kwa kufanikisha uchaguzi serikali za mitaa kwa amani

DSC_0162

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda akiwa ofisini kwake jijini Arusha.

Na Mahmoud Ahmad, Arusha

MKUU Wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda (Kijiko), amewapongeza wananchi wa jimbo la Arusha, pamoja na vyombo vya habari na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanikisha zoezi la uchaguzi bila ya vurugu wala matukio ya uvunjifu wa Amani .

Mkuu huyo wa mkoa ametoa pongezi hizo leo ofisini kwake alipokuwa akipokea taarifa ya uchaguzi wa marudio wa jiji la Arusha ,uliowasilishwa na...

 

9 years ago

Michuzi

NITASHIRIKI UCHAGUZI KWA AMANI

 Wanahabari wakimsikiliza Mkurugenzi  Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani  Tanzania  Thomas Godda  juu ya kuwahimiza wanachi kwenda kupiga kura kwa amni  na kumchanguwa kiongozi bora leo jiji Dar es Salaam    Mkurungenzi  Mkuu wa Global Peace Foundation Tanzania Martha Nghambi juu ya wananchi kupiga kula kwa amani nautulivu  na  kujitokesa kwa wingi  siku ya kupiga kula kikao hicho kimefanyika  leo Jiji Dar es SalaamMkurugenzi  Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani...

 

10 years ago

Mwananchi

Tufanye uchaguzi kwa muda mwafaka na amani

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema alitoa neno zito! Ingawa ni maoni yake lakini kusema kweli masihara mengine si mazuri.

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA AMANI

Wananchi wa Jimbo la Kalenga wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua mbunge wao leo. Wananchi wa kijiji cha Mwika wakipiga kura.…

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili wa amani na Maendeleo endelevu wafanyika zanzibar

Wakati umefika sasa kwa Dunia kujikita zaidi katika kukabiliana na migogoro isiyokwisha kwenye baadhi ya Mataifa inayozaa makundi ya wakimbizi kutokana na vita vinavyosababishwa na ukabila na mfumo mbaya wa siasa unaozalisha wanawake wajane na watoto yatima na kuwafanya kukosa haki zao za msingi za kibinaadamu katika kuishi maisha ya salama na furaha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein alisema hayo wakati akiufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku Mbili...

 

9 years ago

Michuzi

TAWLA YAENDELEZA MIDAHALO YA AMANI KWA WADAU WA UCHAGUZI

Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Buwimba, akichangia mada ya wajibu wa mwanamke kushiriki kwenye uchaguzi na umuhimu wakufanya hivyo wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati na baada ya uchaguzi, uliofanyika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam. Mwanasheria kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Edna Kamaleki, akiwasilisha mada mbalimbali wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, kwa watendaji wa serikali za...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani