Yanga kumfuata mkuu wa mkoa
Kamati ya Ujenzi ya Yanga chini ya mwenyekiti wake Francis Kifukwe kwa kushirikiana na Baraza la Wazee wa klabu hiyo, kesho itatinga kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na barua yao mkononi kumkumbusha ahadi yake ya kutekeleza ombi lao la kuwapa eneo la nyongeza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAZEE WA YANGA WAPANGA KUMFUATA MKUU WA MKOA WA DAR
10 years ago
MichuziMENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI
11 years ago
MichuziMkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro
![](http://1.bp.blogspot.com/-aQiUAz97tKU/Uu6GSSVh4KI/AAAAAAAFKZc/OEVt4B_vw2o/s1600/Pic+three+mafuriko.jpg)
9 years ago
StarTV24 Dec
Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida
Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.
Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.
Baada ya Serikali kufuta...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s72-c/70.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DmuJcS3HXhk/VX5IGzsdJjI/AAAAAAAC6oQ/eTvH-CUJkGo/s640/70.jpg)
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
9 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA AGPAHI AAGANA RASMI NA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA