Yanga na al ahly walivyopigiana mikwaju ya penati jana huko misri
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNews Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3
Timu ya Yanga imetolewa kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Timu ya Al Ahly ya Misri kwa Mikwaju ya penalati 4-3.Hatua hiyo ya penati ilikuwa baada ya Yanga kufungwa bao 1 katika dakika 90 ya mchezo wao uliomalizika usiku huu huko mjini Alexandria. Katika Mchezo wa awali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Yanga ilishinda bao 1 - 0.
11 years ago
GPL10 Mar
10 years ago
Africanjam.ComBRAZIL YAAGA COPA AMERICA KWA MIKWAJU YA PENATI
Brazil imetupwa nje ya michuano ya michuano ya Copa America kwa mikwaju ya penati kufuatia kwenda sare ya kufungana goli 1-1 dhidi ya Paraguay kwenye dakika 90 za mchezo na kuufanya mchezo huo kuamuliwa kwa matuta ndipo Brazil walipotupwa nje ya mashindano kwa penati 4-3 kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa kwenye dimba la Ester Roa Rebolledo huko Chile.
Brazil ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika za kawaida (90’) kupitia kwa Robinho aliyeifungia timu yake dakika ya 15 kipindi...
11 years ago
Michuzi29 Jul
KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3
Wachezaji wa Timu ya Kagondo Fc wakimpongeza mchezaji wao aliyewapa ushindi wa kwenda hatua ya Nusu fainali Abdallatifu Khamis juu kwa juu.
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Al ahly ya misri nje ya CAF
Mabingwa mara 8 wa kombe la mabingwa Afrika al Ahly ya Misri imebanduliwa nje ya mchuano huo na Al Ahly bengazi kutoka Libya .
11 years ago
Michuzi30 Jul
KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC
Mikwaju ndio iliwatoa Rwamishenye na hapa ni kipa wake akipelekeshwa katika mkwaju wa Mwisho!! mpira umepigwa huku yeye akajitupa kule!!Wachezaji wa Kitendanguro wakishangilia kwenda Nusu Fainali baada ya kuwatoa kamasi Wanabodaboda timu ya Rwamishenye Fc penati 6-5kushoto ni kipa wa Makhirikhiri Kitendaguro Fc akifurahia ushindi na mwenzakeUshindi Mtamu!!! tunaenda Nusu Fainali!!!Dada Shabiki wa Timu ya Kitendaguro alishindwa kujizuia akajikuta katikati ya Uwanja! Kwa picha zaidi za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania