Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BRAZIL YAAGA COPA AMERICA KWA MIKWAJU YA PENATI


Brazil imetupwa nje ya michuano ya michuano ya Copa America kwa mikwaju ya penati kufuatia kwenda sare ya kufungana goli 1-1 dhidi ya Paraguay kwenye dakika 90 za mchezo na kuufanya mchezo huo kuamuliwa kwa matuta ndipo Brazil walipotupwa nje ya mashindano kwa penati 4-3 kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa kwenye dimba la Ester Roa Rebolledo huko Chile.
Brazil ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika za kawaida (90’) kupitia kwa Robinho aliyeifungia timu yake dakika ya 15 kipindi...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Copa America:Paraguay yaiondoa Brazil

Paraguay imejikatia tikiti ya nusu fainali ya mchuano wa Copa America baada ya kuilaza Brazil katika hatua ya robo fainali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Brazil yaingia robo fainali Copa America

Thiago na Firmino wafunga bao kila mmoja na kuisaidia Brazil kujikatia nafasi ya kuingia katika robo fainali ya Copa America

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3

Wachezaji wa Timu ya Kagondo Fc wakimpongeza mchezaji wao aliyewapa ushindi wa kwenda hatua ya Nusu fainali Abdallatifu Khamis juu kwa juu.
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: MAPOKEZI YA BRAZIL BAADA YA KUTOLEWA COPA AMERICA

Licha ya kutupwa nje ya michuano ya Copa America na timu ya Paraguay, wachezaji wa kikosi cha Brazil walipokelewa kwa shangwe na mashaiki wa nchi hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kuwalaki wachezaji wao waliokuwa wanarudi kutoka nchini Chilile ambako walitupwa nje ya mashindano hayo kwachangamoto ya mikwaju ya penati na timu ya Paraguay.
Brazil 01Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la...

 

11 years ago

Michuzi

News Flash: Yanga yatolewa kiume mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,yafungwa na Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3

Timu ya Yanga imetolewa kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Timu ya Al Ahly ya Misri kwa Mikwaju ya penalati 4-3.Hatua hiyo ya penati ilikuwa baada ya Yanga kufungwa bao 1 katika dakika 90 ya mchezo wao uliomalizika usiku huu huko mjini Alexandria. Katika Mchezo wa awali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Yanga ilishinda bao 1 - 0.

 

11 years ago

Michuzi

brazil yaingia robo fainali kwa mbinde baada ya kuitoa chile kwa penati

Mtanange ulikuwa  mgumu. Brazil hawakuvutia kabisa. Lakini ilitosha kuwapeleka robo fainali za Kombe la Dunia,  ingawa kwa mbinde,  baada ya kuitoa Chile kwa njia ya penati katika mchezo wako wa raundi ya 16  kwenye uwanja wa Mineirao mjini Horizonte.


Neymer ndiye aliyeweka kimiani bao la ushindi wakati Brazil ikiwa chini kwa mabao 3-2, lakini shujaa wa siku hakuwa yeye bali kipa wao Julio Cesar aliyeokoa mikwaju miwili,

 

10 years ago

BBCSwahili

Chile ndio mabingwa wa Copa America

Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani