Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: MAPOKEZI YA BRAZIL BAADA YA KUTOLEWA COPA AMERICA

Licha ya kutupwa nje ya michuano ya Copa America na timu ya Paraguay, wachezaji wa kikosi cha Brazil walipokelewa kwa shangwe na mashaiki wa nchi hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kuwalaki wachezaji wao waliokuwa wanarudi kutoka nchini Chilile ambako walitupwa nje ya mashindano hayo kwachangamoto ya mikwaju ya penati na timu ya Paraguay.
Brazil 01Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Copa America:Paraguay yaiondoa Brazil

Paraguay imejikatia tikiti ya nusu fainali ya mchuano wa Copa America baada ya kuilaza Brazil katika hatua ya robo fainali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Brazil yaingia robo fainali Copa America

Thiago na Firmino wafunga bao kila mmoja na kuisaidia Brazil kujikatia nafasi ya kuingia katika robo fainali ya Copa America

 

10 years ago

Africanjam.Com

BRAZIL YAAGA COPA AMERICA KWA MIKWAJU YA PENATI


Brazil imetupwa nje ya michuano ya michuano ya Copa America kwa mikwaju ya penati kufuatia kwenda sare ya kufungana goli 1-1 dhidi ya Paraguay kwenye dakika 90 za mchezo na kuufanya mchezo huo kuamuliwa kwa matuta ndipo Brazil walipotupwa nje ya mashindano kwa penati 4-3 kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa kwenye dimba la Ester Roa Rebolledo huko Chile.
Brazil ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika za kawaida (90’) kupitia kwa Robinho aliyeifungia timu yake dakika ya 15 kipindi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chile ndio mabingwa wa Copa America

Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Chile yafuzu fainali za Copa America

Hii ndio mara ya kwanza Chile imefuzu kuingia fainali kwa miaka 28. Iliweza kuinyuka Peru mabao mawili kwa moja.

 

10 years ago

Africanjam.Com

CHILE WATINGA FAINALI COPA AMERICA 2015

Wenyeji Chile wametinga hatua ya fainali ya Copa America baada ya kuifunga timu pungufu ya Peru magoli 2-1 katika mechi ya nusu fainali iliyopigwa usiku wa kuamkia leo mjini Santiago.
Chile vs PeruEduardo Vargas ameifungia Chile magoli mawili katika dakika ya 42′ na 64′, lakini dakika ya 60′ Mlinzi Gary Medel alijifunga bao na kuwapa angalau ahueni Peru.Carlos Zambrano caught Chile midfielder Charles Aranguiz on the back with his studs in the first half in SantiagoMapema dakika 20′ Mwamuzi wa mechi, Jorge Argote alimuonesha kadi nyekundu (Umeme) Carlos Zambrano kwa kosa la kumkanyaga mgongoni kiungo wa Chile,Charles...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani