PAMEKUCHA COPA AMERICA NDANI YA DSTV
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Chile ndio mabingwa wa Copa America
Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.
10 years ago
BBCSwahili28 Jun
Copa America:Paraguay yaiondoa Brazil
Paraguay imejikatia tikiti ya nusu fainali ya mchuano wa Copa America baada ya kuilaza Brazil katika hatua ya robo fainali.
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Chile yafuzu fainali za Copa America
Hii ndio mara ya kwanza Chile imefuzu kuingia fainali kwa miaka 28. Iliweza kuinyuka Peru mabao mawili kwa moja.
10 years ago
Africanjam.ComCHILE WATINGA FAINALI COPA AMERICA 2015
Wenyeji Chile wametinga hatua ya fainali ya Copa America baada ya kuifunga timu pungufu ya Peru magoli 2-1 katika mechi ya nusu fainali iliyopigwa usiku wa kuamkia leo mjini Santiago.
Eduardo Vargas ameifungia Chile magoli mawili katika dakika ya 42′ na 64′, lakini dakika ya 60′ Mlinzi Gary Medel alijifunga bao na kuwapa angalau ahueni Peru.Mapema dakika 20′ Mwamuzi wa mechi, Jorge Argote alimuonesha kadi nyekundu (Umeme) Carlos Zambrano kwa kosa la kumkanyaga mgongoni kiungo wa Chile,Charles...

BBCSwahili22 Jun
Brazil yaingia robo fainali Copa America
Thiago na Firmino wafunga bao kila mmoja na kuisaidia Brazil kujikatia nafasi ya kuingia katika robo fainali ya Copa America
10 years ago
Africanjam.ComPICHA: MAPOKEZI YA BRAZIL BAADA YA KUTOLEWA COPA AMERICA
Licha ya kutupwa nje ya michuano ya Copa America na timu ya Paraguay, wachezaji wa kikosi cha Brazil walipokelewa kwa shangwe na mashaiki wa nchi hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kuwalaki wachezaji wao waliokuwa wanarudi kutoka nchini Chilile ambako walitupwa nje ya mashindano hayo kwachangamoto ya mikwaju ya penati na timu ya Paraguay.
Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la...
Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania