Al ahly ya misri nje ya CAF
Mabingwa mara 8 wa kombe la mabingwa Afrika al Ahly ya Misri imebanduliwa nje ya mchuano huo na Al Ahly bengazi kutoka Libya .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Feb
Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga
![](https://2.bp.blogspot.com/-UVYPyQ-02Z4/Uwntlg7YtPI/AAAAAAACp4c/H4-evbCksrM/s1600/20140221_100321.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zesdCzfmPaI/UwntlSoUZjI/AAAAAAACp4g/jv48jcDs1LA/s1600/20140221_100343.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH1EfpcwyklfcIn1BVOAwbhZYWajKyZ2T1I7AB-Xx2nx*V5g4hr5BbS37PWhJLV*qsR6x8shNZg1R5Kkc-Pt3EWK/okwi.jpg?width=650)
AL AHLY WAMRUDISHA OKWI CAF
Mshambuliaji Yanga, Emmanuel Okwi. ZIKIWA zimesalia saa kadhaa kabla ya kipute cha hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Komorozine ya Comoro, kitakachopigwa kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, uongozi wa Yanga umekuwa kwenye kasi kubwa kuhakikisha kiungo mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi anacheza. Awali, Yanga ilitangaza… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS1FCTm6H8VIjq-P7S3voOFomKa2t2zgPoYvu9eMgFTKBio1Vwp2mtkN5UD39R6abObrEcTjwQDjCYH98lSSshVs/caf.jpg?width=650)
Caf wamruhusu Okwi kuivaa Al Ahly
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Hans Mloli na Khadija Mngwai
SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limemhalalisha mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kuitumikia klabu yake hiyo rasmi kwenye michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuituma leseni yake nchini. Awali, leseni ya mchezaji huyo raia wa Uganda, ilizuiwa na shirikisho hilo lenye makao yake makuu nchini Misri kutokana na utata wa awali juu ya usajili...
11 years ago
Michuzi10 Mar
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Rwanda yatupwa nje ya mashindano ya CAF
CAF yaipiga marufuku Rwanda kwa kumchezesha Dady Birori mwenye vyeti viwiili vya uraiya
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
CAF yaagiza Guinea na Togo kucheza nje
Shirikisho la soka la Afrika CAF imeagiza Togo na Guinea kuandaa mechi yao nje kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania