Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rwanda yatupwa nje ya mashindano ya CAF

CAF yaipiga marufuku Rwanda kwa kumchezesha Dady Birori mwenye vyeti viwiili vya uraiya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Manchester United yatupwa nje FA

Manchester United imeendelea kuboronga na sasa ikitupwa nje ya kombe la FA baada ya kucharazwa 2-1 na Swansea

 

11 years ago

GPL

stars yatupwa nje Afcon 2015

Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' Na Mwandishi Wetu
NDIYO basi tena! Taifa Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2015), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Msumbiji jijini Maputo, jana Jumapili.Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3, baada ya awali kulazimishwa sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mechi hiyo ya jana, Msumbiji ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kwanza kupitia kwa...

 

10 years ago

GPL

MAN CITY YATUPWA NJE UEFA

Barcelona wakishangilia bao lao lililofungwa na Ivan Rakitic dakika ya 31. Barcelona imefanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Mabingwa Ulaya kwa kuifunga Manchester City bao 1-0 lililofungwa na Ivan Rakitic dakika ya 31 ya mchezo uliopigwa Nou Camp, Barcelona usiku huu na kuitupa nje City kwa jumla ya mabao 3-1. Manchester City vichwa chini baada ya kuondolewa kwenye michuano hiyo. Katika mechi ya kwanza iliyopigwa...

 

10 years ago

Habarileo

Familia ya Kawawa 'yatupwa' nje CCM

SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka katika kura za maoni jimboni Namtumbo, Ruvuma.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YATUPWA NJE KAGAME CUP, YAPIGWA 5-4 NA AZAM

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Donard Ngoma akiichambua ngome ya Timu ya Azama, wakati wa Mchezo wao wa robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Kagame, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Azam imeibuka mshindi kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya kutoshana nguvu kwa dakika 90 za mchezo.Mshambuliaji wa Timu ya Azam, John Bocco akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya  Yanga, wakati wa Mchezo wao wa robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Kagame, uliopigwa jioni ya...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSSS !!!!!!! KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...

 

11 years ago

GPL

SUAREZ AMNG’ATA MTU, ITALIA YATUPWA NJE

Sao Paulo, Brazil
TIMU ya taifa ya Uruguay imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil, lakini kituko ni straika wa timu hiyo, Luis Suarez kumng’ata beki wa Italia kwenye Dimba la Das Dunas. Beki wa Italia, Giorgio Chiellini akionyesha sehemu aliong'atwa na Suarez. Uruguay imefuzu hatua hiyo baada ya kuifunga Italia bao 1-0 katika mechi ya mwisho ya Kundi D ikiungana na Costa Rica ambayo...

 

5 years ago

Michuzi

CAF YASITISHA MASHINDANO YA CHAN KUHOFIA CORONA


Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeahirisha Mashindao ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (CHAN) kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya COVID19 (virusi vya corona)Mashindano hayo yalipaswa kuanza April 04 mpaka April 25 2020 huko Cameroon.
Tanzania ni miongoni mwa timu zilizokuwa zishiriki mashindano hayo ambapo kikosi cha Stars bado kiko kambiniBaada ya uamuzi huo ni wazi kambi itavunjwa na wachezaji kurejea kwenye timu zao kuendelea na ligi kuu (kama TFF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani