Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yajifua kijeshi


Wachezaji wa Yanga mazoezini 
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa chini ya makocha wao, Hans Pluijm na Charles Boniface Mkwasa kilifanya mazoezi hayo makali yaliyolenga kuimarisha nguvu kwa wachezaji hao.YANGA kweli imepania msimu ujao. Kwani baada ya kupiga tizi kwenye Uwanja wa Karume, Ilala kikosi cha timu hiyo kimehamia ufukweni kufanya mazoezi fulani ya nguvu kama wanajeshi.
Ilikuwa pale pembezoni mwa Hospitali ya Aga Khan ambapo kikosi hicho kikiwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yajifua kimataifa zaidi

Baada ya kupata tiketi ya kucheza katika michuano ya Kombe la Washindi barani Afrika,Yanga wanaboresha kikosi chao kimataifa.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAJIFUA ADDIS ABABA

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa  Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini Alexandria. (Picha kwa hisani ya TFF)


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam yajifua kimataifa na kitaifa

Azam FC wamesema watatumia michuano ijayo ya Kagame Cup kujiweka sawa kwa ligi kuu Tanzania Bara na Michuano ya kimataifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yajifua Afrika Kusini

>Msafara wa kikosi cha Taifa Stars utaondoka Afrika Kusini leo kwenda Maputo, kwa ajili ya pambano la marudiano dhidi ya Msumbiji  ‘Mambas’ litakalochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nampeto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa stars yajifua kwa Cosafa

Taifa Stars inaingia kambini Jumatatu wiki hii kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na michuano ya Cosafa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yajifua fainali-vijana Afrika

Timu ya Tanzania ya Vijana wa chini ya miaka 15 imeingia kambini kujiandaa kufuzu fainali za U-17 ,2017 nchini Madagascar.

 

10 years ago

Michuzi

Coastal Union yajifua kuikabili Polisi Morogoro

Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu "Julio"akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro,Picha kwa Hisani ya Coastal Union.

 

11 years ago

GPL

KAMBI YA EXTRA BONGO YAJIFUA KWA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA

Kiongozi wa wanenguaji, Super Nyamwela (kulia) akiwaongoza wanenguaji. Sehemu ya wanahabari wakifuatilia zoezi hilo. Kiongozi wa bendi hiyo,…

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI YAJIFUA NA MABALOZI, YAKABIDHIWA MIPIRA

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum (wa tatu kushoto) na wenzake wakichezea mpira kujaribu viwango vya mipira hiyo baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, suleiman Kova (wa pili kulia), wakati wa mazoezi ya timu ya Kamati ya Amani inayoundwa na Viongozi wa Dini. Mazoezi hayo yalifanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, sambamba na timu ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zaoTanzania,kwa ajili ya maandalizi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani