Zaidi ya 5000 wathibitishwa kufa Nepal
Idadi ya watu waliothibitishwa kuaga dunia kulipotokea tetemeko la ardhi nchini Nepal siku ya Jumamosi imezidi watu 5000.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Zaidi ya 4000 wathibitishwa kufa Nepal
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Wanaume wawili wathibitishwa kufa kutokana na Covid-19 Tanzania
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Wakenya watishia kutoroka karantini, wagonjwa 9 zaidi wathibitishwa
10 years ago
BBCSwahili01 May
Mamlaka ya Nepal yaomba usaidizi zaidi
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-zu0u45hyMeQ/VTz8BF4KVEI/AAAAAAABMok/16Z-feAYE5k/s72-c/9.jpg)
WATU ZAIDI YA 2,000 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL
![](http://4.bp.blogspot.com/-zu0u45hyMeQ/VTz8BF4KVEI/AAAAAAABMok/16Z-feAYE5k/s1600/9.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-G0Humwl8ILA/VTz7-fccgeI/AAAAAAABMnw/51Irpc8KmUs/s1600/10.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EjaqjaCeOrE/VTz7-u87UlI/AAAAAAABMn4/k7Bx94Kr6Zw/s1600/11.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z2fxpwZuWF4/VTz7-nx_suI/AAAAAAABMn0/tJlHg4hTdIo/s1600/12.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jVIBFOlVhUE/VTuzdzg4GkI/AAAAAAAHTP8/mGDaTKS0QYo/s72-c/27F9E8A300000578-3055045-image-a-20_1429959005077.jpg)
BREAKING NYUZZZZ...: ZAIDI YA WATU 900 WADAIWA KUPOTEZA KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL
![](http://3.bp.blogspot.com/-jVIBFOlVhUE/VTuzdzg4GkI/AAAAAAAHTP8/mGDaTKS0QYo/s1600/27F9E8A300000578-3055045-image-a-20_1429959005077.jpg)
Taarifa zinadai kuna uharibifu katika maeneo ya nje ya kitovu cha tetemeko hilo lenye ukubwa wa kipimo cha richter cha 7.9 maili 50 kutoka Pokhara mji wa pili kwa ukubwa nchini Nepal.
Tetetemeko hilo la ardhi ni kubwa kabisa kuwahi kuikumba nchi hiyo katika kipindi cha miaka 81...
9 years ago
Dewji Blog08 Dec
TASAF yarudisha zaidi ya shilingi 2,980,000/= zilizokosa wahusika baada ya kufa
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Itigi majengo wakiwa katika mstari wakisubiri kupokea malipo yao kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF awamu ya tatu).
Walipaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini wakiendelea na ulipaji wa malipo hayo katika Kijiji cha Sukamahela, wilayani Manyoni.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kilimatinde, wilayani Manyoni wakisubiri malipo yao kwenye ofisi za Kijiji hicho.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Sukamahela wasiojiweza wakiletwa kwenye ofisi za...