Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zaidi ya 4000 wathibitishwa kufa Nepal

Utawala nchini Nepal unasema watu zaidi ya watu 4000 wamedhibitishwa kuaga dunia kwenye tetemeko la ardhi la siku ya Jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya 5000 wathibitishwa kufa Nepal

Idadi ya watu waliothibitishwa kuaga dunia kulipotokea tetemeko la ardhi nchini Nepal siku ya Jumamosi imezidi watu 5000.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanaume wawili wathibitishwa kufa kutokana na Covid-19 Tanzania

Kulingana na taarifa ya Wizara ya afya kuhusu Ugonjwa wa virusi vya corona nchini Tanzania wanaume hao wote wawili waliokufa ni raia wa Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI KUTOA AJIRA ZAIDI YA 4000 KWA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO

  Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza ajira zaidi ya 4,400 kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.

Serikali Kutoa Ajira Zaidi ya 4000 kwa Polisi, Magereza, Uhamiaji, ZimamotoAkiwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2020/21, Waziri wa wizara hiyo, George Simbachawene, alisema ajira hizo zitakwenda pamoja na mafunzo mbalimbali kwa askari na watumishi mbalimbali.
Alisema kwa mwaka huo, Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri askari 2,725, askari Magereza 685, Uhamiaji 495 na Zimamoto...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Wakenya watishia kutoroka karantini, wagonjwa 9 zaidi wathibitishwa

Makumi ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji mkuu wa Nairobi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamlaka ya Nepal yaomba usaidizi zaidi

Mamlaka ya Nepal imeomba msaada zaidi wa helikopta kutoka kwa mataifa ya kigeni

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko laua zaidi ya watu 3,600 Nepal

Watu zaidi ya 3,600 wameripotiwa kufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Nepal lililoikumba nchi hiyo Jumamosi

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,AVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 4000

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli,Amani Ole Torongei,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huku akionesha fulana ya CHADEMA akieleza kuwa amechoka kuwa mtumwa.Amani alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.Aliyekuwa Mwenyekiti wa wilaya ya Ngorongoro kupitia...

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 2,000 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

 Siku moja baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi, Nepal imeshuhudia tetemeko lingine kubwa lililoelezewa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kathmandu.  Maofisa nchini humo wamesema kuwa vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu walionusurika, na wanahofu kuwa idadi ya watu waliofariki dunia inaweza kuongezeka.Wananchi wakiwa wamekusanyika katika maeneo ya wazi mitaani mjini Kathmandu baada ya kutokea kwa tetemeko hilo. Tetemeko hilo...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ...: ZAIDI YA WATU 900 WADAIWA KUPOTEZA KWA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

TETEMEKO la ardhi limetokea nchini Nepal muda mchache uliopita na na kupoteza maisha ya watu  ya 900 na kuangusha Mnara wa Karne ya 19 Mjini, Kathmandu pamoja na kusababisha maporomoko ya theluji kutoka katika milima. 
Taarifa zinadai kuna uharibifu katika maeneo ya nje ya kitovu cha tetemeko hilo lenye ukubwa wa kipimo cha richter cha 7.9 maili 50 kutoka Pokhara mji wa pili kwa ukubwa nchini Nepal. 
Tetetemeko hilo la ardhi ni kubwa kabisa kuwahi kuikumba nchi hiyo katika kipindi cha miaka 81...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani