Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZAIDI YA WANAWAKE 600 KUNUFAISHWA NA ELIMU YA UJASILIAMALI MKOANI MWANZA

Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile akielezea jukumu la TBS katika kuwaelimisha wanawake wajasiriamali wa Kitanzania watakaoshiriki katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi juu ya ubora na viwango katika bidhaa wanazoandaa. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Kampeni ya Mwanamke na Akiba inayotarajiwa kufanyika Mkoani Mwanza kuanzia Septemba 4-5, ambapo zaidi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake 600 kupewa elimu ya ujasiriamali

ZAIDI ya wanawake 600 mkoani Mwanza, wanatarajiwa kupata elimu juu ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha, uwekaji akiba pamoja na mafunzo ya afya bora katika viwanja vya Mwaloni Kirumba Septemba 4...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake 600 kupata elimu ya biashara

ZAIDI ya wanawake 600 jijini Mwanza, watapata elimu ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha, uwekaji akiba na afya bora. Wanawake na vijana kutoka wilaya za Magu, Ilemela, Misungwi na Nyamagana watashiriki...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUWAPATIA VIJANA ZAIDI YA 500 ELIMU YA UJASIRIAMALI MKOANI ARUSHA

Meneja huduma za jamii wa Airtel Bi. Hawa Bayumi akiongea na wwndishi wa habari (hawapo pichani). Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango maalumu wa Airtel Fursa, imeandaa warsha maalumu ya mafunzo ya ujasiriamali na namna ya kuendesha biashara zao kwa faida itakayofanyika mwanzoni mwa wiki ijayo. Warsha hii itakayowajumuisha vijana kati ya miaka 18 - 24 wenye nia ya kujifunza na kujikwamua kiuchumi, inategemea...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA

Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi. Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.…

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza

Matukio mbalimbali katika ziara ya siku moja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome mkoani Mwanza. Na hotuba yake katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.  Katibu Mkuu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vifo kutokana na Ebola ni zaidi ya 600

Vifo kutokana na Ebola huko Afrika magharibi ni zaidi ya 600 huku udhibiti ukicheleweshwa na changamoto zinazoibuka .

 

9 years ago

Habarileo

Zaidi ya 600 Tanzanite One kuachishwa kazi

KAMPUNI ya madini ya Tanzanite One imetoa likizo ya malipo kwa wafanyakazi 635 kwa lengo la kujiweka sawa katika shughuli za uendeshaji wa kampuni hiyo. Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KDU wakamata majangili zaidi ya 600

KIKOSI cha Kuzuia Ujangili (KDU) Kanda ya Kati, kimefanikiwa kukamata majangili 692 na meno ya tembo 195 katika Operesheni Tokomeza Ujangili iliyofanyika wilayani Manyoni, Singida kuanzia mwaka 2009 hadi 2012....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani