Zali la Samatta lanukia Abuja
Tayari Shirikisho la Soka Afrika limetaja majina ya wachezaji watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ujumla, mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya Afrika, mchezaji bora kijana wa Afrika, mchezaji bora anayechipukia, kocha bora Afrika, mkongwe bora wa soka Afrika, timu bora Taifa, timu bora ya Taifa kwa upande wa wanawake na klabu bora ya Afrika iliyofanya vizuri mwaka 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Kama zali tumewakosa
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Gotze: Ni kama zali tu kwangu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIvKWRpfBpBan*DSq*a1TSUkeCgHMybcNQifq*FX*qsd87Sx2Onl*B6ci5QHBnWJKHKFPsAM1pyfDd7OpK6CzPX*/romy2.jpg?width=600)
DIAMOND, ZALI WAKIPATA CHAKULA CHA USIKU
9 years ago
Bongo508 Dec
Mimi ni mkali ila sina zali tu – Jay Moe
![Jaymoe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jaymoe-300x194.jpg)
Ni muda mrefu tulikua hatujamskia Jay Moe, yule yule wa ‘Mvua na Jua’, yule yule wa ‘Kama unataka demu’, yule yule wa ‘Kimya Kimya’ na marehemu Ngwea, au kwa utambulisho wowote unaoufahamu wewe lakini ninayemzungumzia mimi ni Juma mchopanga.
Jamaa amerudi na wimbo mpya ‘Hili Game’, kama alivyoahidi siku chache zilizopita kua anavunja ukimya wa miaka minne kabla mwaka haujaisha. Ametambulisha wimbo huo Jumatatu hii Dec 7.
Wote tunafahamu ugumu wa game ya muziki wa bongo, baadhi ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkELWgU3AZoqyyyC9f7pCR6MzALoRC2cdGtNxlK24QVuRhc9aj*GGh2YGRNbxS4le2Rluup1PWA7k4jsOX5*ruR7b/Front.jpg?width=650)
WAKATI DIAMOND AKIMTESA NA ZALI, WEMA AJIBU MAPIGO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/TxwT6t1QJRk/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbJHQ7R0asp2SKFiCT0r0UiSKF4Lo4fg0-HxXENtQvjbEbmhLuYUV4nR6rcNOGQdv6gNQ1mGmqFeSM8GnxFJ43nQ/a1.jpg?width=650)
JIJI LA ABUJA, NIGERIA
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
21 Wafariki katika mlipuko Abuja