ZESCO YAICHAPA SIMBA 3-0
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Simba pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi. (Picha na Francis Dande)
Kikosi cha Simba kikiwa na Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic (kulia), pamoja na Rais wa Simba, Evans Aveva.
Kikosi cha Zesco.
Ramadhani Singano 'Mess' akiwatoka wachezaji wa Zesco.
Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (kushoto), akimtoka beki wa Zesco United ya Zambia, Bernad Mapili katika mchezo maalumu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWcGVf*OuvTrYdRLSM*dh5MT7K7prCN6VZ37mSSGMjrx4PDVQFN7ktm0VQ1*8QlT0JUmlFUVE8UOKuo*gJwcuep/simbaday11.jpg?width=650)
TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO
11 years ago
TheCitizen09 Aug
Simba SC play Zesco in friendly
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Zesco yatibua sherehe Simba
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Ismailia , Zesco zaja kupamba Simba DayÂ
KLABU ya Simba imetangaza wiki moja ya matukio muhimu yatakayofunguliwa na mkutano mkuu wa wanachama Agosti 3; na kufungwa kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Ismailia ya Misri...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Simba yaichapa Rhino
10 years ago
Mwananchi13 Sep
URA yaichapa Simba kwa mbwembwe
10 years ago
Vijimambo28 Feb
Simba yatakata, yaichapa Prisons 5-O, Ajib atupia hat-trick
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/simba-ushindi.jpg)
Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib ndio aliibuka kinara wa kufumania nyavu baada ya kutupia kambani bao 3 (Hat trick) ambapo katika kipindi cha pili alipumzishwa baada ya kupewaa kadi njano.
Simba walijipatia...
11 years ago
Michuzi15 Feb
SIMBA NA MBEYA CITY DROO 1-1 , LIPULI FC YAICHAPA POLISI MOROGORO 3-1
![](https://3.bp.blogspot.com/-2qrh1ceP8YA/Uv8x_1mdn6I/AAAAAAAAg0Q/TkLW9U36R2Y/s1600/IMG-20140215-WA0004.jpg)
11 years ago
MichuziSIMBA YAFANYA KUFURU UWANJA WA TAIFA LEO,YAICHAPA JKT OLJORO BAO 4-0