Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zesco yatibua sherehe Simba

Mabao matatu yaliyofungwa na Jackson Mwanza, Clatons Chama na Winston Kalenga, yamesababisha siku ya Simba ‘Simba Day’ kuwa chungu baada ya Zesco kuizamisha miamba hiyo kwa mabao 3-0.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA SIMBA DAY: SIMBA YALALA 3-0 KWA ZESCO

Ramadhan Singano 'Messi' akijaribu kuwatoka mabeki wa Zesco. Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (katikati) akikwaana na mabeki wa Zesco.…

 

11 years ago

Michuzi

ZESCO YAICHAPA SIMBA 3-0

 Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Simba pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi. (Picha na Francis Dande) Kikosi cha Simba kikiwa na Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic (kulia), pamoja na Rais wa Simba, Evans Aveva.Kikosi cha Zesco.
 Ramadhani Singano 'Mess' akiwatoka wachezaji wa Zesco.Mshambuliaji wa Simba, Raphael Kiongera (kushoto), akimtoka beki wa Zesco United ya Zambia, Bernad Mapili katika mchezo maalumu wa...

 

11 years ago

TheCitizen

Simba SC play Zesco in friendly

Simba SC lock horns with Zambia’s Zesco FC in a friendly match at 60,000-seater National Stadium today.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ismailia , Zesco zaja kupamba Simba Day 

KLABU ya Simba imetangaza wiki moja ya matukio muhimu yatakayofunguliwa na mkutano mkuu wa wanachama Agosti 3; na kufungwa kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Ismailia ya Misri...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga kila siku kwao sherehe, Simba bado

YANGA jana ilizidi kuchanja mbuga kuelekea kutetea taji lake la Ligi Kuu baada ya jana kuifunga Mbeya City mabao 3-0. Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe pointi 33 kwenye msimamo ikiwa kileleni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtanzania awanoa mafundi Zesco

SHIRIKA la Umeme la Zambia (Zesco), limeanza kutumia teknolojia ya kufanya ukarabati wa njia za umeme bila kuzima baada ya wafanyakazi wake kuhitimu mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na mtaalamu kutoka Tanzania,...

 

11 years ago

Mwananchi

Zesco yamsajili Juma Luizio

Mchezaji wa Tanzania, Juma Luizio ameweka historia mpya katika soka nchini baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea timu ya Shirika la Ugavi wa Umeme la Zambia (Zesco FC) akitokea timu ya Mtibwa Sugar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Refa mechi ya Zesco na AS ni Mtanzania

Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Israel Mjuni Nkongo amechaguliwa kuchezesha Ligi ya Mabingwa Afrika .

 

10 years ago

Mwananchi

Mapinduzi yatibua ratiba ligi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepangua ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuziwezesha timu nne kushiriki Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kesho kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani