ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - ARUSHA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mondoli, mkoani Arusha..
KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana, akiwasha umeme, kuzindua umeme Mradi wa umeme, katika Kijiji cha Lolkisal, wilayani Monduli.
KATIBU wa halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia m,kutano wa hadhara, Mto wa Mbu, wilayani Monduli.
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM Arusha - Komrade Abdulrahman Kinana
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akishiriki kupaka rangi nyumba ya mganga wa hospitali ya kijiji, iliyojengwa na wanakijiji cha Bulati. Wengine ni mbunge wa Ngorongoro,
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.
KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.
KINANA akikaribishwa kwa...
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.
KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.
KINANA akikaribishwa kwa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WILAYA YA NGORONGORO MKOANI ARUSHA.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (wa pili kulia)akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika Kijiji cha Sakala, wilayani Ngorongoro.Ndugu Kinana na ujumbe wake wako kati wa ziara ya siku tisa mkoani Arusha ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Komredi Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, Telele kujenga vyumba vya madarasa ya kidato cha nne na cha...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA LONGIDO MKOANI ARUSHA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi na bendera za aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Longido ambaye amejiunga na CCM kwenye mkutano uliofanyika Eworendeke.Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako kwenye ziara ya siku tisa mkoani Arusha ya Kuhimiza,kuimarisha na kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya ccm ya mwaka 2010 ikiwemo pia na kusikiliza matatizo ya Wananchi na kuyapatia ufumbuzi.Wananchi wa kijiji cha...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI MKOANI ARUSHA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi kwa kupeleka zege kwenye eneo husika wakati wa ujenzi wa daraja la Kisongo,ambalo lilikuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na barabara ya eneo hilo kulika na mmomonyoko wa udongo.Ujenzi wa daraja la Kisongo ukiendelea kwa kasi,ambapo pia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alikagua na kushiriki ujenzi wake.Baadhi ya wananchi wa Kisongo wakipita juu ya barabara ambayo imeanza kuathirika na mmomonyoko wa udongo. Katibu Mkuu wa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU 9 MKOANI DODOMA,KESHO KUUNGURUMA JIJINI ARUSHA.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara jioni ya leo katika uwanja wa sabasaba, wilayani Kondoa, wakati wa ziara ya siku tisa iliyomalizika leo mkoani Dodoma ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Katika ziara yake hiyo aliyoambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ilikuwa ya mafanikio makubwa, kwani msafara wake...
Katika ziara yake hiyo aliyoambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ilikuwa ya mafanikio makubwa, kwani msafara wake...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,AVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 4000
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli,Amani Ole Torongei,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huku akionesha fulana ya CHADEMA akieleza kuwa amechoka kuwa mtumwa.Amani alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.Aliyekuwa Mwenyekiti wa wilaya ya Ngorongoro kupitia...
11 years ago
Michuzi15 Jul
KATIBU MKUU WA UVCCM AFANYA ZIARA MKOA WA ARUSHA
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akiendelea na ujenzi katika uwanja wa michezo wa st.Benjamin uliopo Usa river kwa ufadhili wa edinburgh global partnerships na YES Tanzania katika ziara yake ya kwanza ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha.
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika mradi wa ujenzi wa kiwanja cha michezoHapa viongozi na wadau wakishuhudia...
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika mradi wa ujenzi wa kiwanja cha michezoHapa viongozi na wadau wakishuhudia...
10 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - BAHI
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisoma bango la wananchi wa kijiji cha Msisi, waliokuwa wakilalamikia shule yao ya msingi ya Msisi kutoezekwa paa tangu lilipoezuliwa na upepo mkali mwaka 2011. (Picha zote na Adam Mzee).KINANA (kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakishiriki kuandaa shamba la zabibu, katika Kijijini cha Lamaiti wilayani BahiKATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipata mapokezi makubwa...
10 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulraman Kinana, akihutubia wakazi wa kitongoji cha Itolwa wilayani Chemba, mkoani Dodoma juzi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujenga na kuimarisha Chama pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akiwahutubia wakazi wa Itolwa.
HII ni sehemu ya umati wa wananchi wa kitongoji cha Itolwa, waliofurika kusikiliza hotuba za viongozi wa juu wa CCM.
MBUNGE wa Jimbo la Kondoa Kusini, Juma Nkamia, akiwahutubia wakazi wa...
HII ni sehemu ya umati wa wananchi wa kitongoji cha Itolwa, waliofurika kusikiliza hotuba za viongozi wa juu wa CCM.
MBUNGE wa Jimbo la Kondoa Kusini, Juma Nkamia, akiwahutubia wakazi wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania