Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - BAHI

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisoma bango la wananchi wa kijiji cha Msisi, waliokuwa wakilalamikia shule yao ya msingi ya Msisi kutoezekwa paa tangu lilipoezuliwa na upepo mkali mwaka 2011. (Picha zote na Adam Mzee).KINANA (kushoto), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakishiriki kuandaa shamba la zabibu, katika Kijijini cha Lamaiti wilayani BahiKATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipata mapokezi makubwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM WILAYA YA BAHI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata mapokezi makubwa mara baada ya kuwasili katika wilaya ya Bahi.
Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoani Dodoma pamoja na kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilayni ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Adam Kimbisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Nguji kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kusalimia na kushiriki uchimbaji mitaro ya...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA YAZIDI KUCHANJA MBUGA JIMBO LA BAHI,KESHO KUIVURUGA KONDOA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Misisi kata ya Misisi,wilayani Bahi mapema leo,mkoani Dodoma akiwa ziarani ndani ya jimbo la Bahi.
Ndugu Kinana amezungumza na wananchi hao waliokuwa wamebeba mabango na kuzuia msafara wake,kutokana na matatizo yaliyokuwapo katika kijiji hicho na kukosa ufumbuzi kwa muda mrefu.Wananchi hao walikuwa na lalamiko lao moja kubwa lililohusu shule yao ya msingi ya Msisi,ambayo madarasa yake mawili yaliezuliwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - DODOMA

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulraman Kinana, akihutubia wakazi wa kitongoji cha Itolwa wilayani Chemba, mkoani Dodoma juzi,  ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujenga na kuimarisha Chama pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.KATIBU wa NEC,  Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akiwahutubia wakazi wa Itolwa.

HII ni sehemu ya umati wa wananchi wa kitongoji cha Itolwa, waliofurika kusikiliza hotuba za viongozi wa juu wa CCM.

MBUNGE wa Jimbo la Kondoa Kusini,  Juma Nkamia, akiwahutubia wakazi wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM - ARUSHA

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mondoli, mkoani Arusha..
 KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana, akiwasha umeme, kuzindua umeme Mradi wa umeme, katika Kijiji cha Lolkisal, wilayani Monduli.

KATIBU wa halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia m,kutano wa hadhara, Mto wa Mbu, wilayani Monduli.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM jimbo la Mlalo

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi ya tawi la  Kwekangaga ambayo imesema ujenzi wa ofisi hiyo ungegharimu shilingi milioni 45 za kitanzania ,Katibu Mkuu aliigomea taaraifa hiyo baada ya kupata ukweli kuwa ofisi hiyo ingegharimu shilingi milioni...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM, MKOA WAKILIMANJARO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga, alipowasili katika Kijiji cha Mikocheni, Wilaya ya Moshi,mkoani Kilimanjaro, kuendelea na ziara yake ya kuhimiza uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mkoani humo.
MWENYEKITI wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Gabriel Massenga, akihutubia wananchi, katika Kijiji cha Mikocheni.
KATIBU Mkuu wa CCM, Kinana,akishiriki uvunaji wa mpunga katika shamba lakilimo cha umwagiliaji la...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Babati vijijini

3

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika Kata ya Mangara wilaya ya Babati Vijijini.Katibu Mkuu wa CCM yupo ziarani katika mkoa wa Manyara ambapo atafanya shughuli za kimaendeleo ikiwemo kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kukagua uhai wa chama.

5

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa amezungukwa na wakazi wa Kata ya Mangara wilayani...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM Arusha - Komrade Abdulrahman Kinana

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akishiriki kupaka rangi nyumba ya mganga wa hospitali ya kijiji, iliyojengwa na wanakijiji cha Bulati. Wengine ni mbunge wa Ngorongoro,
Kaika Ole Telele (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole.
NAPE akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Nainokanoka.

KINANA akizungumza na Nape kabla ya kuhutubia wananchi wa kijiji cha Nainokanoka, kilichoko wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha.

KINANA akikaribishwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDANI YA VISIWA VYA UKEREWE


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe. Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani