Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA KINANA JIMBO LA KYERWA JANA, JUNI 12,2015

Wananchi wakimsalimia kwa shauku, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili Uwanja wa michezo, kuhutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kibingo, Kata ya Kaisho, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera, leo. (pICHA ZTE NA BASHIR nKOROMO)Katibu wa EC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwapungia mkono, wananchi waliofurika kwenye Viwanja vya michezo, katika Kijiji cha Kibingo, Kata ya Kaisho, baada ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA MULEBA, JANA JUNI 8, 2015

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kata ya Izigo, jimbo la Muleba ya Kaskazinimoani Kagera. Wakazi wa Izigo wakiinua ikono juu kama ishara ya kuafiki hoja za Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemaliza ziara yake kwenye jimbo la Muleba Kaskazini.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Izigo ambapo aliwaambia kuwa mwaka huu CCM itashinda vizuri kutokana na sera zake nzuri na zinazotekelezeka.

 Mbunge wa Jimbo la Muleba...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA WILAYANI MBOGWE, GEITA, JANA JUNI 17, 2015

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Kata ya Masumbwe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, jana, Juni 17, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo)Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Abdylrahman Kinana uliofanyika katika kata ya Masumbwe, wilayani Mbogwe mkoani Geita, jana Juni 17, 2015.Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA JIMBO LA MPWAPWA NA KIBAKWE,LEO KUWASILI JIMBO LA KONGWA.

  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye sambamba na viongozi mbalimbali wa chama mkoani Dodoma jana wamemaliza ziara ya Kikazi katika jimbo la Mpwapwa na Kibakwe mkoani Dodoma,ambapo leo wanaanza ziara katika jimbo la Kongwa.Kinana anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani humo,akikagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 ikiwemo sambamba na kuimarisha uhai chama,kusikiliza matatizo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI,LEO KUUNGURUMA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO

Wakazi wa  eneo la Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati  wakimsikiliza   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia,Kinana aliwaeleza wananchi hao kuwa kuna baadhi ya watu wanaotaka nafasi za Uongozi wamekuwa wakijipitisha pitisha kuomba uongozi,hivyo amewaonya na kuwatahadharisha kutojipitisha pitisha kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda kuisha na kutangazwa.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa  Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati ambapo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA LEO JIMBO LA NYAMAGANA,KESHO KUUNGURUMA LIVE JIMBO LA ILEMELA JIJINI MWANZA

 Wananchi wakiwa wamesimama juu ya daraja la zamani, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa daraja jipya la Isegenge katika Kata ya Mahina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza leo.Ndugu Kinana kesho atahutubia katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza,mkutano huo utarushwa moja kwa moja na televisheni mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hitimisho ziara yake...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana jimbo la LUSINDE

 Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(kushoto) akimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde namna ya kufyatua matofali wakati wa kushiriki ujenzi wa shule ya msingi Lowasa.

3

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupampu maji ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA JIMBO LA SUMVE

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo juu ya usindikaji wa alizeti kwenye kikundi cha ujasiriamali cha KIBUKU kilichopo kata ya Lyoma ,jimbo la Sumve wilaya ya Kwimba.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kata ya Lyoma mara baada ya kujionea maendeleo ya kikundi cha Ujasiriamali kinachojishughulisha na usindikaji wa alizeti.Wananchi wa Kata ya malya wakionyesha Bango kubwa lenye ujumbe kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana lenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana jimbo la Mufindi Kusini

 Vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwagia maji vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU)

 Shamba la chai Ngwazi.

4

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchuma chai pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye shamba la chai Ngwazi wilaya ya Mufindi.

 Katibu Mkuu wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani