ZIARA YA MWENYEKITI WA TUME YA MADINI KATIKA KAMPUNI YA APEX RESOURCES
![](https://1.bp.blogspot.com/-idyhlLK7aPk/Xkg-EW2J0AI/AAAAAAALdhk/nMJcVNa-UIcTVS_vR0dTsXwrBD-Rc2B-QCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-NA-1-5-1024x683.jpg)
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uchimbaji na Uchenjuaji wa Dhahabu ya Apex Resources, Joseph Kimogele (kulia) akielezea shughuli zinazofanywa na kampuni yake kwa Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (katikati) mara alipofanya ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji na uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwenye kampuni hiyo katika eneo la Itumbi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya tarehe 14 Februari, 2020. Wa pili kushoto ni Afisa Madini Mkazi wa Chunya, Godson...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogHOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020
• Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,• Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,• Mkurugenzi wa Uchaguzi,• Msajili wa Vyama vya Siasa,• Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,• Viongozi wa Vyama vya Siasa,• Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,• Inspekta Jenerali wa Polisi,• Kamishna Mkuu wa Uhamiaji• Watendaji wa Tume,• Waandishi wa Habari,• Mabibi na Mabwana
Bwana...
11 years ago
GPL30 Apr
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA TABORA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MIKOA YA LINDI, MTWARA
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amefanya ziara mkoani Lindi na Mtwara mwanzoni mwa wiki kukagua miradi mbalimbali iliyo chini ya Wizara yake ambapo aliahidi huduma za umeme na maji kwa wananchi mbalimbali.
Akiwa Madimba mkoani Mtwara, baada ya kupokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa mtambo wa kuchakata gesi, Waziri Simbachawene alimwagiza Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi Kapuulya Musomba kutoa huduma ya maji safi kwa wananchi wanaozunguka...
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
JK ateua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
UTEUZI – TUME YA HAKI ZA BINADAMU.doc by moblog
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-f9lqJEtlw9o/VnQeGWgg4FI/AAAAAAAINRM/f3tyDe7szOg/s72-c/IMG_8683.jpg)
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MITAMBO YA GESI YA TEGETA JIJINI DAR.
Na kukagua mitambo hiyo leo na kubaini kuwa umeme uniti moja inatengenezwa kwa gharama ya shilingi 90 na kuuzwa kwa wananchi kwa shilingi 180 ikiwa ni kiwango kikubwa kwa...
10 years ago
Michuzi07 Jan
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI