Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIJUE NCHI 15 DUNIANI ZISIZOKUWA NA WAGONJWA WA CORONA

Tarehe 12 Januari chini ya miezi minne iliyopita - virusi vya corona vilikua ndani ya Uchina pekee. Hapakuwa na mgonjwa hata mmoja aliyekuwa amepatikana nje ya nchi hiyo ambayo virusi hivyo vilianzia. Siku moja mbele yaani Januari 13, virusi hivyo vikaanza kuwa tatizo la dunia. Mgonjwa wa kwanza alirekodiwa Thailand kisha Japani, Korea Kusini zikafuatia haraka.
Katika maeneo mbalimbali ya dunia wakaanza kuongezeka.
Kufikia sasa zaidi ya watu zaidi ya milioni 2.9 wamethibitishwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani. 
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa. 
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video. 
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa. 
Mkurugenzi...

 

5 years ago

CCM Blog

MAREKANI YAZIDI KUONGOZA KWA WAGONJWA WENGI WA CORONA DUNIANI

Waombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionWaombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.
New York state sasa ina visa vingi vya virusi vya corona zaidi ya taifa lolote duniani , kulingana na takwimu mpya.Serikali imethibitisha kwamba idadi ya visa vya ugonjwa huo imeongezeka kutoka 10,000 siku ya Alhamisi hadi 159, 937 na kuiweka mbele ya Uhispania ilio na visa 153,000 na Itali ilio na visa 143,000.China ambapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Viruis vya Corona: New York yarekodi wagonjwa wengi zaidi duniani

Picha za mazishi ya pamoja ya wagonjwa waliofariki kutokana na virusi vya corona zaonekana katika mji mkuu wa New York

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi msako wa watu waliokaribiana na wagonjwa unavyofanyika duniani

Mamilioni ya watu Uingereza hivi karibuni watahitajika kupakua programu ya kusaidia kupunguza usambaaji wa virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mombasa yathibitisha wagonjwa 67 huku jumla ya wagonjwa ikifikia 2,474 kenya

Katibu wa Wizara ya Afya Mercy Mwangangi ametangaza Ijumaa kuwa idadi ya waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya imeongezeka na kufikia 2,474.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yafika 281

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani