Zijuwe Faida za Mazoezi ya Yoga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ht5vf18x8Us/VAIVwuhI7pI/AAAAAAAGW-U/Cm7IzrJuY_Q/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
Na Sensei Rumadha Fundi Kama mtaalam wa sanaa ya Yoga au Acharya (Yoga Teacher), Rumadha (Rasadeva) alihitimu na kutunukiwa Diploma ya kufuzu sanaa hiyo mwaka 1987, toka katika chuo cha "College of Neohumanist Studies", Ydrefors, Sweden, na hatimae baada ya kumaliza kozi hiyo kwenda Culcutta, India kwa mafunzo maalum ya kuthibitiwa kama mwalimu wa sanaa hiyo. Pia Rumadha ni mwalimu wa sanaa ya Karate. Mwaka 1991 alitunukiwa cheo cha juu cha sanaa ya Yoga duniani kiitwacho " Avadhuta" huko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA
Mara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Qe4Ek6tb6c4/VczwXEA9-TI/AAAAAAAHwaY/HaPwbqjJW5Y/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
MWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA SENSEI RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA
5 years ago
Mwananchi27 Feb
UMUHIMU WA MAZOEZI YA YOGA KWA AFYA- 2
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Yajue mazoezi ya kutembea na faida zake
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mazoezi yamfaayo mtoto mchanga, faida zake
9 years ago
MichuziSOMO LA YOGA: Ulaji Nyama, Afya na Sanaa ya Yoga
Je! Ni kawaida asili ya mwanaadam kuwa nakula nyama? Kufuatana na mafunzo ya sanaa ya Yoga, inashauri sana kuepuka madhara yanayosababishwa na athari ya kula nyama ambayo ni mjadala mrefu na uanaleta hoja nyingi katika maisha ya mfumo mzima wa sanaa hiyo.
Leo, kama tunajiandaa kuelekea mwaka mpya 2016 na malengo mapya, basi moja ya ushauri na mazungumzo ni kufahamishana na kuhusu mambo kazaa ya sanaa ya Yoga na uhusiano wake wa kutokula nyama kiafya.
Mfumo wa kuchanganya...
9 years ago
Vijimambo29 Sep
DC Yoga Reggae Festival
Yoga reggae festival unite and encompass a fusion of live reggae music with yoga and a range of spiritual disciplines that focus on meditation, health, relaxation and the peaceful art of living. Studies show the practice of yoga—which combines stretching and other exercises with deep breathing and meditation—can improve overall physical fitness, strength, flexibility and lung capacity, while reducing heart rate, blood pressure and back pain. Last week it was all about the first annual yoga...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75359000/jpg/_75359543_8-alltypes.jpg)