Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMUHIMU WA MAZOEZI YA YOGA KWA AFYA- 2

Tumalize mada ya Yoga. Kama ilikupita wiki jana tulidokeza aina mbili za mazoezi. Ya haraka, kuhema na jasho; kujenga ukakamavu, misuli, punguza mafuta, nk yaani “Cardio Vascular” inayotokana na moyo. Mtu anaposhtuka moyo akafariki dunia waganga husema “cardiac arrest.” Mifano ni riadha, soka, kuogelea, ndondi nk.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SOMO LA YOGA: Ulaji Nyama, Afya na Sanaa ya Yoga

Tatizo Gani Kula Nyama
Je! Ni kawaida asili ya mwanaadam kuwa nakula nyama? Kufuatana na mafunzo ya sanaa ya Yoga, inashauri sana kuepuka madhara yanayosababishwa na athari ya kula nyama ambayo ni mjadala mrefu na uanaleta hoja nyingi katika maisha ya mfumo mzima wa sanaa hiyo.
Leo, kama tunajiandaa kuelekea mwaka mpya 2016 na malengo mapya, basi moja ya ushauri na mazungumzo ni kufahamishana na kuhusu mambo kazaa ya sanaa ya Yoga na uhusiano wake wa kutokula nyama kiafya.
Mfumo wa kuchanganya...

 

10 years ago

Michuzi

Zijuwe Faida za Mazoezi ya Yoga

Na Sensei Rumadha Fundi  Kama mtaalam wa sanaa ya Yoga au Acharya (Yoga Teacher), Rumadha (Rasadeva) alihitimu na kutunukiwa Diploma ya kufuzu sanaa hiyo mwaka 1987, toka katika chuo cha "College of Neohumanist Studies", Ydrefors, Sweden, na hatimae baada ya kumaliza kozi hiyo kwenda Culcutta, India kwa mafunzo maalum ya kuthibitiwa kama mwalimu wa sanaa hiyo. Pia Rumadha ni mwalimu wa sanaa ya Karate. Mwaka 1991 alitunukiwa cheo cha juu cha sanaa ya Yoga duniani kiitwacho " Avadhuta" huko...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazoezi kwa ajili ya afya ya mifupa

Kama ilivyo misuli ya mwili, mifupa nayo ni tishu zenye uhai zinazofaidika kwa mazoezi ya mwili. Mazoezi huimarisha mifupa na kuifanya iwe na nguvu, iwe na umbo zuri pamoja na ujazo mzuri.

 

10 years ago

Michuzi

Tambua Fursa ya Biashara na Umuhimu wa Trevo kwa Afya Yako

Trevo ni nini

·         Bidhaa kutoka Marekani ambayo ndani yake kuna virutubisho 174

·         Trevo imethibitishwa na ORAC,Cap-e ,Halal,Kosher,Vegetarian,na TFDA

Trevo Inaimarisha

·         Ufahamu wa kiakili-mental focus

·         Kudhibiti uzito- weight management

·         Afya ya moyo- Blood pressure and Heart health

·         Afya ya seli

·         Afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula - digestion system

·         Afya ya mfumo wa neva za fahamu - nervous system

·         Afya ya mfumo wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA

 Meditation & Mantra
Mara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa  na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi na...

 

10 years ago

Michuzi

MWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA SENSEI RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA

Na Sensei Rumadha FundiMara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa  na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumeanza kuona umuhimu wa mazoezi lakini tusiparamie bila mpango

Taratibu wimbi la kupunguza unene, kuboresha afya na haiba linashika moto, Afrika. Vijana wanainua vyuma ndani ya ma- Gym; wanawake kwa wanaume wanakimbia na kutafuta wakufunzi. Watanzania wanauliza maswali kuhusu mazoezi kutaka kufahamu la ziada.

 

9 years ago

Michuzi

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

 

10 years ago

Michuzi

MAZOEZI YANAJENGA AFYA — IGP MANGU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernet Mangu  akimpa mkono mshindi wa  Kwanza wa Riadha  ya Half May Day Marathon katika kundi la Wanaume,Alphonce Felix wa Club ya Holili,Kilimanjaro yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni  Mkurugenzi Mkuu wa Boa  Bank Ammish Owusu, mshindi huyo amejipatia kitita cha Sh. 1100,000..Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Ernest Mangu akimpa mkono mshindi wa  Kwanza  wa  Riadha ya   Half May Day Marathon...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani