Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazoezi kwa ajili ya afya ya mifupa

Kama ilivyo misuli ya mwili, mifupa nayo ni tishu zenye uhai zinazofaidika kwa mazoezi ya mwili. Mazoezi huimarisha mifupa na kuifanya iwe na nguvu, iwe na umbo zuri pamoja na ujazo mzuri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MBEGU ZA MABOGA KWA AFYA YA MOYO, MIFUPA NA NGUVU ZA KIUME-2

Leo naendelea kuelezea faida za mbegu za maboga ambapo utafiti uliofanywa kupitia wanyama ulionesha kuwa mbegu hizo husaidia kurekebisha kiwango cha nyongo (Insulin) inayohusika na kulinda kiwango cha sukari mwilini kisipande au kushuka sana, hivyo kujiepusha na tatizo la kisukari. UKOMO WA HEDHI Utafiti unaonesha pia kuwa mafuta yatokanayo na mbegu za maboga huondoa kolestro mbaya mwilini pamoja na kushusha shinikizo la juu la...

 

11 years ago

Michuzi

SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Gym hiyo Ndg. Omar Ige. Muonekano wa Jengo litakalo na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika...

 

10 years ago

Michuzi

WLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA

 .Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya  akikata utepe Ikiwa ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

WANARIADHA WA MBIO NDEFU WAWASILI ADDIS ABABA KWA AJILI YA MAZOEZI YA KUJIAANDAA NA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ( wa nne kutoka kulia) akiwa na baadhi ya wanariadha wa Mbio ndefu kutoka Tanzania waliowasili jijini Addis Ababa siku ya Alhamisi tarehe 1/5/2014, kwa ajili ya kufanya mazoezi ya nguvu ya kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika nchini Scotland mwezi wa Saba mwaka huu. Wizara ya Michezo ya Ethiopia imeamua kutoa makocha watatu ambao watasaidiana na kocha Shabaan Bayu katika kukinoa kikosi hicho. Aidha, mwanariadha...

 

5 years ago

Mwananchi

UMUHIMU WA MAZOEZI YA YOGA KWA AFYA- 2

Tumalize mada ya Yoga. Kama ilikupita wiki jana tulidokeza aina mbili za mazoezi. Ya haraka, kuhema na jasho; kujenga ukakamavu, misuli, punguza mafuta, nk yaani “Cardio Vascular” inayotokana na moyo. Mtu anaposhtuka moyo akafariki dunia waganga husema “cardiac arrest.” Mifano ni riadha, soka, kuogelea, ndondi nk.

 

5 years ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA ZAANZISHA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUNUNUA VIFAA VYA WAHUDUMU WA AFYA KUJIKINGA NA CORONA


Charles James, Michuzi TV

Katika kuunga mkono juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona, Asasi za Kiraia zimeanzisha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano hayo.

Kampeni hiyo imelenga kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwanunulia vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona wahudumu wa afya nchini.

Akizungumzia kampeni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa AZAKI, Francis Kiwanga amesema wao kama Asasi za Kiraia wameguswa na mapambano ya ugonjwa huo hivyo wakaona ni...

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR | CHINA YAISAIDIA WIZARA YA AFYA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza (kushoto) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na (wakatikati) ni Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Yuanliang. Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lafungua kituo cha afya chenye hadhi ya kimataifa kwa ajili ya wafanyakazi wake Abu Dhabi

Etihad Airways - New World-Class Facility for Employees Photo

Ukataji wa Utepe mwekundu (Kutoka kushoto kwenda kulia): Naser Al Mazroei, Mkurugenzi mtendaji kitengo cha huduma kwa wateja katika mamlaka ya vitambulisho Emirates; Ray Gammell, Afisa mkuu wa Utendaji na Watu kutoka Shirika la ndege la Etihad; Dk Nadia Bastaki, Makamu rais huduma za matibabu; Dk Mariam Buti Al Mazrouei, Kaimu afisa mtendaji wa Ambulatory Healthcare Services; and Dk. Mubarak Al Darmaki, Kaimu afisa mkuu wa kliniki kutoka Ambulatory Healthcare Services.

Shirika la ndege la...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani