Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto awaanika Lembeli, Msigwa bungeni

zitto ANa Mwandishi Wetu, Dodoma

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amemshangaa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, pamoja na kamati yake kwa kushindwa kumchukulia hatua Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, licha ya kushindwa kutekeleza agizo la Mahakama.

Kauli hiyo aliitoa bungeni mjini Dodoma jana alipokuwa akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa mwaka 2014.

Katika taarifa hiyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI

Ziito Kabwe  akiwa na mume  wa Chiku Abwao na Chiku Abwao  na kada wa ACT wazalendo. Zitto kabwe  akiwa na wapambanaji Zitto kabwe  akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini Mgombe  udiwani wa kata ya Mvinjeni Abuu Majeck akimpongeza mgombea  ubunge jimbo la Iri nga mjini Chiku Abwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa

Peter-Msigwa1

Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Tukutane ‘bungeni’ Novemba

Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaaga rasmi wabunge baada ya kuvuliwa uanachama wa Chadema na kuahidi kuwa “Mungu akipenda” atakuwa tena ndani ya chombo hicho cha kutunga sheria Novemba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinzani bungeni wamkaanga Zitto

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni

Baadhi ya kazi za Zitto Bungeni

Kwa uzito na mahala unapofanyika mkutano huu, naomba niwaletee kwa muhtasari kabisa baadhi ya kazi ambazo Ndugu Zitto Kabwe amezifanya katika kusukuma mbele guruduma la maendeleo katika nchi yetu.

MABADILIKO SEKTA YA MADINI

Zitto alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2005 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini ambalo halina mgodi hata mmoja wa madini ukiachana na wachimbaji wadogo wa udongo wa Pemba ambao una soko kubwa hapa Kariakoo jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto aanza kuvuliwa nyadhifa za bungeni

Mambo yanazidi kumwendea kombo Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kuvuliwa rasmi cheo cha Naibu Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

 

10 years ago

Michuzi

Baadhi ya kazi za Zitto Kabwe Bungeni

Mhe Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT Maendeleo

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto apiga tambo kuelekea bungeni

>Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani