Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA WILAYA YA LUDEWA LIMEANZA RASMI LEO

Na Veronica Kazimoto,Ludewa
Wito umetolewa kwa wamiliki wote wa viwanda waliopo katika wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kutoa taarifa sahihi na ushirikiano wa kutosha kwa wadadisi wakaopita katika viwanda vyao ili kufanya zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda kwa ajili ya maandalizi ya Sensa ya Viwanda inayotarajia kufanyika mwezi Septemba, 2014.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Iringa, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Meneja Takwimu mkoa wa Iringa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA NCHINI

 Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani Morogoro.   Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera akiwahutubia Wasimamizi na Wadadisi (hawapo pichani) muda mchache kabla ya kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AFUNGUA RASMI KAMPENI YA TOHARA KWA WANAUME MKOANI RUKWA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta akihutubia katika hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Tohara kwa wanaume Mkoani Rukwa iliyofanyika kimkoa katika Tarafa ya Challa Wilayani Nkasi. Akihutubia katika hafla hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Injinia Stella Manyanya Mkuu huyo wa Wilaya amesema hadi kufikia mwezi wa tisa mwaka huu 2014 Mkoa wa Rukwa unatakiwa uwe umeshafanya tohara za wanaume 22, 000 ikiwa ni agizo la kitaifa ambapo hadi sasa jumla ya wanaume 7,000...

 

5 years ago

Michuzi

CCM Ludewa yaishauri ofisi ya Wilaya Udhibiti wa COVID-19



Na Shukrani Kawogo, Njombe

Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani Ludewa mkoani Njombe imeishauri serikali kupitia mkuu wa wilaya hiyo Adrea Tsere kuweka mkakati madhubuti wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID 19) katika maeneo ya mikusanyiko ikiwemo maeneo ya minada na maeneo ya kuingilia ndani ya wilaya.

Ushauri huo umetolewa katika kikao cha taarifa juu ya mwenendo wa ugonjwa huo katika wilaya hiyo ambayo ilitolewa na Muuguzi mkuu ofisi ya wilaya Bw....

 

11 years ago

Dewji Blog

Deo Filikunjombe andaa semina kwa viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa

1a

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa inayohusu masuala ya kuimarisha Chama na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Ludewa ambalo linaongozwa na Mbunge wake Machachali na makini Mh. Deo Filikumbjombe, Semina hiyo imeandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo ambayo ilianza na ziara ya kimafunzo ya viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa ambapo walianzia mjini Dodoma...

 

11 years ago

GPL

DEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA‏

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya Wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ludewa, Ndugu Stanley Kolimba akimkaribisha Naibu…

 

11 years ago

Dewji Blog

Jenista Muhagama afunga mafunzo ya siku 5 kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa

5

Mbunge wa Jimbo la Ludewa  Ndugu Deo Filikunjombe akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha Semina ya Siku 5 ya Mafunzo kwa viongozi hao wa CCM iliyofanyika kwenye ukumbi wa Serengeti ,JB Belmont jijini Dar es Salaam. 1 Dk.Susan Kolimba akichangia mambo muhimu kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha mafunzo ya siku 5 kwa viongozi hao. 12 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista...

 

11 years ago

Michuzi

MH. JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR

3wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayo Eliud Shemauya Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa. 4wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi cheti cha kuhudhuria mafunzo hayoHonolatus Pilimini Mgaya Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa. 5wNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama...

 

10 years ago

Michuzi

Msiba: Mjumbe wa NEC Ludewa ambae ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo afariki dunia

CHAMA  cha  mapinduzi (CCM)  wilaya ya  Ludewa  mkoani  Njombe  kimepata  pigo  kubwa kufuatia  kifo  cha  aliyekuwa  mjumbe  wa  Halmashauri  kuu ya wilaya  hiyo (NEC)  Bi  Elizabeth Haule.Mbali ya  kuwa MNEC  wa  wilaya  hiyo  Haule  pia  alikuwa ni mwenyekiti  wa UVCCM wilaya ya  Ludewa  kabla ya  kujiuzulu kwake mwezi  February mwaka jana baada ya  kuchaguliwa nafasi hiyo ya  NEC na  nafasi   hiyo  kuwa  wazi  hadi sasa.

Katibu   mwenezi  wa  CCM  wilaya  ya  Ludewa  Felix Haule  alisema ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani