Zuma: Afrika Kusini tulihitaji kiongozi aina ya Mandela
RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amesema nchi hiyo, ilihitaji Rais wa aina ya Nelson Mandela. Amesema kama serikali ya makaburu ingeendelea madarakani, Waafrika Kusini, wangezuiwa hata kufikiria kuhusu Mandela.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mwanawe Rais Zuma hatiani Afrika Kusini
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Zuma aanza kupoteza umaarufu Afrika Kusini
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Zuma aahidi karo ya vyuo haitaongezwa Afrika Kusini
10 years ago
StarTV12 Dec
Mtoto wa Rais Zuma atiwa hatiani Afrika Kusini.
Jopokazi moja nchini Afrika Kusini limesema kua mwanawe Jacob Zuma hakua makini alipokuwa anaendesha gari hadi kusababisha ajali ya barabarani ambapo mwanamke mmoja alifariki.
Awali kiongozi wa mashitaka hakuwa tayari kumchukulia hatua zozote za kisheria mwanawe Zuma.
Sasa atakabiliwa na shinikizo za kumfungulia mashitaka.
Gari la Duduzane Zuma aina ya Porsche iligonga gari dogo la abiria mjini Johannesburg mwezi Februari, na kumuua mwanamke huyo papo hapo.
Mwandishi wa BBC Pumza Fihlani...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3ToRmq895A4/VJidnczfnxI/AAAAAAAG5I0/HYzaJ3FZJZs/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
JK akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini Ikulu, Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-3ToRmq895A4/VJidnczfnxI/AAAAAAAG5I0/HYzaJ3FZJZs/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-F4i8iotLxpc/VJidnY4NdrI/AAAAAAAG5I4/0IBr6QXwrAU/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Mandela akumbukwa Afrika Kusini
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Bunge la Afrika Kusini kumuenzi Mandela
11 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mandela:Siku ya maombi Afrika Kusini
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Jg0wNQVSgfU/U4BdHWXDFHI/AAAAAAAFkuM/dc3sRMKFZRo/s72-c/20140524_102810.jpg)
wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-Jg0wNQVSgfU/U4BdHWXDFHI/AAAAAAAFkuM/dc3sRMKFZRo/s1600/20140524_102810.jpg)