Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zuma, Kikwete wakutana saa 2

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ndani na kiongozi huyo aliyewasili nchini juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

ZUMA, KIKWETE WAKUTANA KWA MASAA MAWILI

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ndani na kiongozi huyo aliyewasili nchini juzi.
Rais Zuma aliwasili Ikulu Dar es Salaam jana majira ya saa 4 asubuhi na kupokewa na Rais Kikwete kabla ya kufanya mazungumzo hayo yaliyochukua takribani saa moja na dakika 45.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Dar es Salaam jana, ilibainisha kuwa mazungumzo baina ya viongozi hao wawili, yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete, Mtendaji Mkuu wa Unilever wakutana

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani, Paul Poulman jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014. Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake leo Mei 24, 2014. 
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuhutubia wananchi kupitia mkutano utakaorushwa Live na TBC saa 11 jioni hii

Jakaya-Kikwete1

TUNAPENDA KUWAJULISHENI  KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA, UTAKAOFANYIKA CHUO CHA MIPANGO – DODOMA.

MKUTANO HUO UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA (LIVE) KUPITIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA TAIFA TBC.

ASANTENI

IMETOLEWA NA;

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,

IKULU – DAR ES SALAAM.

4 SEPTEMBA,2014

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani