Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZUMA, KIKWETE WAKUTANA KWA MASAA MAWILI

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ndani na kiongozi huyo aliyewasili nchini juzi.
Rais Zuma aliwasili Ikulu Dar es Salaam jana majira ya saa 4 asubuhi na kupokewa na Rais Kikwete kabla ya kufanya mazungumzo hayo yaliyochukua takribani saa moja na dakika 45.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Dar es Salaam jana, ilibainisha kuwa mazungumzo baina ya viongozi hao wawili, yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Zuma, Kikwete wakutana saa 2

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ndani na kiongozi huyo aliyewasili nchini juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

9 years ago

Michuzi

TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND

Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete, Mtendaji Mkuu wa Unilever wakutana

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani, Paul Poulman jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

NesiWangu: YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA...

NesiWangu: YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA...: HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKIA KIKOMO JUMATATU TAREHE 1/6/2015 SAA 6:00 USIKU SHUKURANI ZA DHATI KWA DR. TAALIB ALI WA AV...



 

11 years ago

Michuzi

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.   Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akifungua jokofu hilo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani