Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Search Habari za Tanzania .

Unaweza Pia kushare kwenye Facebook matokeo ya utafutaji,Tumia tab ya Share.



Matokeo ya Utafutaji

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KAZINI

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014.

 

10 years ago

Africanjam.Com

DIAMOND PLATNUMZ PROFILE


Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania. He is best known for his hit song "Number One". Diamond has won numerous awards at Channel O and the Prestigious HiPipo Music Awards. He performed at
the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012. Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the...

 

10 years ago

Vibe Magazine TZ

DIAMOND PLATNUMZ KUSHTAKIWA…?

STAA wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’ ambaye aliwatelekeza watoto wawili alioahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, atashtakiwa mahakamani endapo wazazi wa vijana hao wataamua kufanya hivyo, Risasi Mchanganyiko limeelezwa.

Staa wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.

Meneja wa msanii huyo, Babu Tale, awali aliulizwa na gazeti hili juu ya kinachoendelea kuhusiana na vijana hao waliotimuliwa...

 

10 years ago

Michuzi

Diamond Platnumz kushirikiana na Mziiki

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wake na kampuni inayoendesha programu ya Mziiki.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Spice VAS Africa wanaoendesha programu hiyo ya Mziiki,Arun Nagar na kushoto ni Meneja wa Diamond Platinumz,Babu Talle.
Mkali wa Bongo Flava Tanzania Diamond Platnumz amepewa nafasi ya kushirikiana na Mziiki kama Brand Partner. Msanii huyu ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

10 years ago

Vibe Magazine TZ

TRA YAANZA NA DIAMOND PLATNUMZ

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7).
Inaelekea kuna jambo haliko sawa!

 

diamond (1)

The post TRA YAANZA NA DIAMOND PLATNUMZ appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.

 

10 years ago

Bongo5

Music: Diamond Platnumz — Kisa

Kisa ni miongoni mwa nyimbo zisizo rasmi za Diamond Platnumz. Usikilize wimbo huo wenye mahadhi ya pop hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani