Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Search Habari za Tanzania .

Unaweza Pia kushare kwenye Facebook matokeo ya utafutaji,Tumia tab ya Share.



Matokeo ya Utafutaji

5 years ago

CCM Blog

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKABIDHI MALORI MATATU KATIKA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA

  Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma.KATIKA kuimarisha shughuli za Kikosi ujenzi cha Shirika la uzalishaji mali la Magereza(SHIMA). Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amekabidhi malori matatu (03) mapya aina ya TATA yenye thamani ya zaidi ya milioni 400 Tsh ambayo yatakayotumika katika miradi mbalimbali ya ujenzi ya Shirika hilo hapa nchini.
Akizungumza katika makabidhiano ya magari hayo leo Juni 1, 2020 jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee amesema kuwa kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(Kushoto) akikabidhi funguo za malori mapya kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina leo Juni 1, 2020 katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...

 

5 years ago

Michuzi

UREKEBISHAJI WAHALIFU JUKUMU LA MAOFISA MAGEREZA

 Askari wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kama wanavyoonekana.Maofisa wa Jeshi wa Jeshi la Magereza



Wafungwa wakishiriki burudani mbalimbali gerezani ikiwemo onesho la wasanii wana muziki ambao ni wafungwa ikiwa ni sehemu moja wapo ya programu za Urekebishaji magerezani.Wafungwa wakishiriki ujenzi wa nyumba za watumishi wa Jeshi la Magereza ikiwa ni sehemu ya kujinza ujuzi wa fani ya ujenzi kama sehemu ya programu ya urekebishaji wahalifu.


Na ASP. Lucas Mboje, Makao Makuu ya Jeshi la...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKUTANA NA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA WALIOHAMISHIWA MAKAO MAKUU YA JESHI HILO DODOMA HIVI KARIBUNI



Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza ambao wamehamishiwa hivi karibuni Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika leo Mei 19, 2020 kwa lengo la kupeana mikakati mbalimbali ya kazi sambamba na maelekezo ya utekelezaji wa mageuzi yanaendelea...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Magereza yawashukuru Wafanyakazi wanawake TAA

Katika kuhitimisha  mwezi wa siku ya wanawake duniani Jeshi la Magereza Tanzania limewashukuru wanawake wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kwa moyo wa upendo walioonyesha kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali  kwajili ya wafungwa wanawake katika gereza la Segerea.
Shukrani hizo zimetolewa wakati wa makabidhiano ya vifaa mbalimbali ambavyo ni simenti mifuko 20, sabuni ya unga mifuko mikubwa miwili, ndoo za maji ya kunywa 10, sabuni za miche katoni 2, Dawa za meno mabox 2, miswaki mabox 2,...

 

5 years ago

Michuzi

Magereza kuanzisha Kiwanda cha Mikate

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Makadirio ya Mapato, Matumizi na Miradi ya Maendeleo ya Jeshi la Magereza kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.Aliyesimama ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Ambayuu Kitiku.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza wakati wa Kikao cha Makadirio ya Mapato,...

 

5 years ago

Michuzi

Magereza makete wapigwa jeki ujenzi wa zahanati

Na Amiri kilagalila,Njombe Mkuu wa Gereza la Ndulamo wilayani Makete mkoani Njombe amewaomba wadau mbali mbali kujitokeza kusaidia ukamilishwaji wa ujenzi wa zahanati ya gereza hilo ili kuokoa maisha na kuimarisha usalama kwa wafungwa na mahabusu ndani ya gereza. Gereza la wilaya ya Mkete (Ndulamo) lililopo wilayani Makete, ni moja kati ya magereza yanayopatikana ndani ya mkoa wa Njombe.Moja ya changamoto kubwa hapa inayoelezwa na Aloyce kayela mrakibu mwandamizi wa magereza wilaya ya Makete...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA KUJITEGEMEA KWA KUTUMIA RASILIMALI ZAKE

Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma

MKUU wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali Suleiman Mzee, amesema kuwa Jeshi hilo limeanza kuyafanyia kazi maagizo mbalimbali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kuhakikisha linatekeleza mikakati ya kuanza kujitegemea ikiwemo kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa magerezani kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Amesema hatua hiyo inaanza mara moja kwani Jeshi hilo lina uwezo mkubwa wa kutumia rasilimali zake zilizopo ndani ya Jeshi ambazo zinaweza kuliwezesha...

 

9 years ago

Mwananchi

Deni la Sh1.13 bilioni kuziponza Polisi, Magereza

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), imetoa siku 14 kwa taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro, kulipa malimbikizo ya madeni yanayofikia Sh1.13 bilioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani