Magereza makete wapigwa jeki ujenzi wa zahanati
![](https://1.bp.blogspot.com/-muoiv6jjX8A/XmvlgWqs_CI/AAAAAAALjAc/XHtEaFUlXygYRB3N-I871mtN0UKz8brAACLcBGAsYHQ/s72-c/C.png)
Na Amiri kilagalila,Njombe Mkuu wa Gereza la Ndulamo wilayani Makete mkoani Njombe amewaomba wadau mbali mbali kujitokeza kusaidia ukamilishwaji wa ujenzi wa zahanati ya gereza hilo ili kuokoa maisha na kuimarisha usalama kwa wafungwa na mahabusu ndani ya gereza. Gereza la wilaya ya Mkete (Ndulamo) lililopo wilayani Makete, ni moja kati ya magereza yanayopatikana ndani ya mkoa wa Njombe.Moja ya changamoto kubwa hapa inayoelezwa na Aloyce kayela mrakibu mwandamizi wa magereza wilaya ya Makete...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Apr
Ujenzi reli ya kati wapigwa jeki
BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya reli.
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Msalaba mwekundu ‘wapigwa jeki’
CHAMA cha Msalaba Mwekundu tawi la Mailimoja, kimepokea msaadawa vifaa pamoja na fedha kutoka kwa mke wa mbunge wa Kibaha mjini, Selina Koka ili wawezekufanya kazi kwa ufanisi. Msaada huo ulikabidhiwa...
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Utafiti barani wapigwa jeki
9 years ago
MichuziMGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAIPIGA JEKI ZAHANATI YA MWINGIRO GEITA
Maafisa wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii katikamgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, William Chungu (kulia) na Zuwena Senkondo (kushoto) wakikabidhi vifaa vinavyotumika wakati wakujifungulia kwa zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita .
![](http://2.bp.blogspot.com/-DlBUBN5Jv4M/Von0GCn3C1I/AAAAAAAAZAM/zUW-cZ-vPo0/s640/Zuwena%2Bakimkabidhi%2Bneema%2Bvifaa%2Bkatika%2Bzahanati%2Bhuku%2BWiliam%2BChungu%2Bmwenye%2Bmiwani%2Bakishuhudia%2Bpamoja%2Bna%2Bwafanyakazi%2Bwa%2Bzahanati.jpg)
Zuwena Senkondo wkikabidhi vifaa vya kujifungulia kwa mmoja wa wauguzi katika zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita
Kiongozi wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Sara Ezra Teri akikabidhi Video...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wajasiriamali wacheza bao wapigwa jeki
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu amekichangia Sh 500,000 kikundi cha wajasiriamali wa Mlandege mjini Iringa kinachoundwa na wacheza bao 154.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0im5XrYR-po/XkwQYLEhSbI/AAAAAAALeF0/Uu3ZyBNrG_oF5dEfkHgNP9JEkpTPPzl-ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WANANCHI WAFURAHIA UJENZI WA ZAHANATI
Wananchi wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Serikali kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambazo zilisimama ujenzi kwa muda mrefu.
Hayo yamejitokeza kwenye ziara aliyoifanya Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ya kufuatilia ujenzi wa Zahanati ya Mitondi iliyopo Kijiji cha Mitondi B kata ya Kitama pamoja na Zahanati ya Miuta iliyopo Kijiji cha Miuta kata ya Miuta ambapo alikuta ujenzi ukiendelea kwa kasi hali inayowafurahisha Wananchi kiasi cha kuamua kujitoa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-daKOt2hadpU/XqvJx2P4nTI/AAAAAAALovU/rpsTZHrtxf80D2aa0ln91qmPVtP3G570wCLcBGAsYHQ/s72-c/FB_IMG_1588275537666.jpg)
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI UJENZI ZAHANATI
~ Kuwaondolea kero ya afya
~ Waridhishwa na ujenzi
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wa Kijiji cha Miuta kata ya Miuta wamemshukuru Rais Magufuli na Serikali yake kuwajengea Zahanati ya Miuta ambayo inaenda Kuwaondolea kero ya kupata huduma ya afya.
Wananchi hao ambao awali wameridhishwa na kasi na kiwango cha ujenzi wa Zahanati hiyo wameomba Zahanati hiyo...
10 years ago
Habarileo26 Jan
Waomba fedha ujenzi wa zahanati kukaguliwa
WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Chanya katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kuwapatia Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali awasaidie kutambua matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa zahanati ambazo hazijulikani zilipo.
10 years ago
MichuziTWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR