Matokeo ya Utafutaji
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI DAR LAWASHIKILIA WATU WATANO WALIOMKATA MAPANGA NA KUMPORA OFISA WA SERIKALI, WALIOBIWA LAPTOP WAITWA POLISI
WATU Watano ambao ni maarufu kwa ukataji watu mapanga maeneo ya Tegeta jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa kutokana na uporaji walioufanya katika nyumba ya Ofisa wa Serikali Victor Nelson Nyirenda ambaye kabla ya kumpora walimkata mapanga kichwani.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja watuhumiwa hao leo Machi 27,2020 kuwa ni Juma John( 27), Japhet Charles( 25), Victor ...
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU CHRISTOPHER KADIO, APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MRADI WA DAR CITY UNAOHUSISHA UJENZI WA NYUMBA ZA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY, KIJITONYAMA NA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY


5 years ago
Michuzi
WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI WAKUU POLISI KUWAHOJI WATUHUMIWA WALIOPO MAHABUSU ZA POLISI NCHINI

9 years ago
Mwananchi29 Dec
Jeshi la Polisi lafumuliwa
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Polisi wamtisha Lowassa
Na Frederick Katulanda, Mwanza
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ameonekana kutishwa na nguvu kubwa inayotumiwa na polisi kudhibiti wafuasi wa chama hicho.
Lowassa amesema anashangazwa na jeshi hilo kumwaga askari wengi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, marehemu Alphonce Mawazo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana.
Alisema kitendo cha polisi kudhibiti wafuasi wa...
10 years ago
Habarileo21 Oct
Kikwete apongeza Polisi
RAIS Jakaya Kikwete amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia vizuri kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazofikia ukingoni, lakini akalitaka kuwadhibiti watu wote watakaoonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili wiki hii.
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI

PRESS RELEASE 05/10/2015• MAJAMBAZI SUGU SITA WALIOMMUA AFISA WA POLISI ASP ELIBARIKI PALLANGYO WAKATWA. WAPATIKANA NA SILAHA MBILI.
• WATUHUMIWA WA UGAIDI WAZIDI KUKAMATWA KATIKA OPARESHENI KALI INAYOENDELEA. SABA WASHIKILIWA POLISI KANDA MAALUM. PIA ZIMEKAMATWA BUNDUKI NNE NA RISASI 18 jeshi la Polisi kanda maalum ya dar es salaam wamefanikiwa kuwakamatwa majambazi sugu sita walioshiriki katika mauaji ya...