11 KUTOVAA UZI WA YANGA MSIMU UJAO
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*vBOfR0aH4D29B4lFaSQvWGzUMUMRfJnnx3xNKE-WMGviLl7xtdZsW7n6gepMDMNyXnlB7H3bEaMTyfaBIzZVU/yangalogo.jpg?width=650)
Kutokana na ripoti ya Benchi la Ufundi iliyowasilishwa mara baada ya kumalizika kwa Msimu wa Ligi Kuu 2013/2014 baadhi ya wachezaji hawataitumikia tena Yanga SC kwenye msimu ujao, wachezaji 11 wamemaliza muda wao na kumalizana na uongozi hivyo wapo huru kujiunga vilabu mbalimbali: Wachezaji hao ni: 1. David Luhende 2. Athuman Idd "Chuji" 3. Geroge Banda -U20 4. Yusuph Abdul -U20 5. Rehani Kibingu -U20 6. Hamisi Thabiti 7....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Mwambusi apania makubwa msimu ujao
KOCHA mkuu wa klabu ya Mbeya City, Juma Mwambusi, amesema anajipanga kufanya maajabu msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kushika moja kati ya nafasi mbili za juu. Mbeya...
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Msimu ujao tiketi za kielektroniki zitumike
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Mourinho ahofia Ligi ya Mabingwa msimu ujao
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Klabu Bingwa
barani Ulaya msimu ujao kutokana na mwenendo mbaya wa klabu hiyo.
Mwishoni mwa wiki iliyopita klabu hiyo ilikuwa kwenye uwanja wa nyumbani Stanford Bridge na kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao Bournemouth, kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini England.
Kichapo hicho ni cha nane katika michezo 15 ya Ligi Kuu, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa katika nafasi ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Sijui nitacheza wapi msimu ujao:Messi
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
TFF imejiandaaje kwa ligi msimu ujao?
WAKATI Ligi Kuu soka Tanzania Bara inafikia ukingoni msimu uliopita, yaliandikwa na kusemwa mengi
Mwandishi Wetu
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-kOMfQZr7hBc/VXdDzgf8xFI/AAAAAAAAB_w/6ecHWbtlWyk/s72-c/arsenal.jpg)
JEZI MPYA YA ARSENAL MSIMU UJAO 2015/16
![](http://3.bp.blogspot.com/-kOMfQZr7hBc/VXdDzgf8xFI/AAAAAAAAB_w/6ecHWbtlWyk/s400/arsenal.jpg)
Kwa wale wanaojiuliza ni lini Arsenal watatoa jezi zao mpya za Puma kwa ajili ya msimu wa 2015/2016, jibu hili hapa. Jezi za nyumbani za Arsenal zitakazotumika msimu ujao wa 2015/2016 zimevuja….hivyo mashabiki wa London na duniani kote wajiandae kupata mzigo mpya.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Radamel Falcao ataenda wapi msimu ujao?
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-sLc8dIseuYA/VW3JE7aLtCI/AAAAAAAAB38/11BswC4NZLA/s72-c/Man-Utd-leaked-kit.jpg)
JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO 2015/16
![](http://1.bp.blogspot.com/-sLc8dIseuYA/VW3JE7aLtCI/AAAAAAAAB38/11BswC4NZLA/s400/Man-Utd-leaked-kit.jpg)
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Nyota hawa wana kazi kucheza ‘First XI’ msimu ujao