12 mbaroni sakata la TRA
JESHI la Polisi nchini linawashikilia watu 12 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwamo kuhusishwa na upotevu wa makontena ya bidhaa mbalimbali katika Bandari ya Dar es Salaam, kulikofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Dec
Makontena yanaswa sakata TRA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata makontena tisa, yaliyotoroshwa kutoka katika bandari kavu na kuhamishiwa katika eneo la Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, hivyo kuwepo na kiashiria cha ukwepaji wa kodi.
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Mangu aingilia kati sakata la TRA, Polisi
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Sakata la miili Tanzania,wanane mbaroni
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Maofisa 12 wa TRA mbaroni kwa upotevu wa makontena
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s72-c/pccb.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAWATIA MBARONI MAOFISA WAWILI WA TRA
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu (Pichani) akizungumza mjini Babati alisema maofisa hao TRA wanadaiwa kufanya kosa hilo kinyume cha kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.
![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s640/pccb.jpg)
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA.
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.
Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kul7ph0BHB4/VWyAeOkw8AI/AAAAAAAAeSA/y5GwpOc6I-A/s72-c/1.jpg)
Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo
![](http://4.bp.blogspot.com/-kul7ph0BHB4/VWyAeOkw8AI/AAAAAAAAeSA/y5GwpOc6I-A/s1600/1.jpg)
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...