Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata la miili Tanzania,wanane mbaroni

Watu wanane wakiwemo madaktari kutoka Taasisi ya mafunzo IMTU wanashikiliwa na Polisi wakihusishwa na tukio la kutupwa miili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI SABA WA TPA MBARONI KWA UPOTEVU WA MAKONTENA MPYA 11,884 NA MAGARI 2,019... WANANE WATOROKA

Waziri wa Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa. Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiBAADA ya  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kufanya ziara  katika Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) na kubaini uondoshwaji wa wa kontena 329   bila kulipiwa kodi zaidi ya sh.bilioni 12,  Mawakala wa Forodha walifanya ukaguzi  kuona kama kuna upotevu wa mapato  na kubaini jumla ya kontena 11,884 na magari 2019 yalitolewa bila malipo.Makontena hayo yalitolewa katika bandari kavu ni MOFED 61, DICD 491,...

 

9 years ago

Habarileo

12 mbaroni sakata la TRA

 JESHI la Polisi nchini linawashikilia watu 12 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwamo kuhusishwa na upotevu wa makontena ya bidhaa mbalimbali katika Bandari ya Dar es Salaam, kulikofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha

kova1

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.

Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...

 

11 years ago

BBCSwahili

Madaktari Tanzania walaani miili kutupwa

Chama cha Madaktari Tanzania chalaani kitendo cha kutupwa miili iliyoelezwa kutoka Taasisi ya mafunzo ya udaktari,IMTU

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Wagonjwa wapya wanane wathibitishwa Kenya, Tanzania wanne

Shule na taasisi za elimu kuendelea kufungwa Tanzania mpaka itakapotolewa taarifa mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Usiyoyajua kuhusu uchunguzi wa miili ya maiti nchini Tanzania

>Maiti ya Adrian Louis iliokotwa kando ya barabara kuu ya kwenda Lukuledi wilayani Masasi katika Mkoa wa Mtwara.

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. PICHA ZAIDI INGIA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Warembo Miss Tanzania wajifua Gym kuiweka miili yao imara

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi ‘Gym’, ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. 8

 

10 years ago

Michuzi

Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) kizimbani kwa mashitaka 14 ya kufoji vyeti vya kidato cha nne

Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii  Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) wamekutwa na kesi ya kujibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam, dhidi ya mashitaka 14 ya kughushi na kuwasilisha vyeti vya kidato cha nne vilivyoghushiwa.  Uamuzi huo ulitolewa na Hakimu Mkazi Nyigulila Mwaseba baada ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wao, dhidi ya washtakiwa Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahengena Beatha Masawe, Jacquiline Juma, Philimina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani