Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


135 wauawa katika matukio tofauti Mbeya

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi WATU 135 wameuawa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Mbeya katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Julai mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MKOANI MBEYA WAMO RAIA WA ETHIOPIA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
     Na Jamiimojablog.       Watu watano wamefariki dunia   Mkoani Mbeya katika matukio matatu tofauti likiwemo la ajali ya haice iliyosababisha vifo vya watu wanne mkoani hapa.                Katika tukio la kwanza gari  lenye namba za usajili  T.519 AKH aina ya Toyota Haice ikiendeshwa na dereva  asiyefahamika kugongana na pikipiki yenye namba za usajili  T.535 AWC aina Ya T-Better eneo la Nanenane Jijini Mbeya.      Ajali hiyo imetokea Septemba...

 

9 years ago

Habarileo

Wawili wauawa matukio tofauti Mpanda

WATU wawili wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana katika matukio tofauti wilayani Mpanda, mkoani Katavi.

 

11 years ago

Habarileo

Watu 6 wafa katika matukio tofauti

WATU sita wamekufa katika matukio tofauti, ikiwemo maiti ya mtoto mchanga wa kiume iliyookotwa ikiwa imewekwa katika mfuko wa nailoni na kutupwa maeneo ya Pugu Kajiungeni, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafa katika matukio tofauti

Watu watatu wamepoteza maisha katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani Pwani, lkiwamo la mtu mmoja kuteketea kwa moto uliosababishwa na radi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

 

11 years ago

Habarileo

Wanne Moro wafa katika matukio tofauti

WATU wanne wamekufa na watano kujeruhiwa mkoani Morogoro katika ajali tofauti ikiwemo ya watoto wawili kufa baada ya nyumba waliokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa Kaimu kamanda John Laswai tukio hilo lilitokea Desemba 7 saa 4 usiku katika maeneo ya Mbuga Tarafa ya Ulanga Wilayani Uranga Mkoani hapa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Watano wafa katika matukio tofauti Singida

DSC00179111

Kamanda wa polisi Mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

 Na Mwandishi wetu, Singida

Watu watano wakiwemo watatu wa familia moja,wameuawa katika matukio tofauti,likiwemo la wanafamilia hao kukatwa katwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miiili yao na watu wasiofahamika.

Tukio hilo la mauaji lililowahusisha wanandoa hao lilitokea siku tano baada ya kuuawa kikatili kwa wanandoa wengine wawili,Bwana Ramadhan Lyanga (80) na Bi Aziza Ali (62) wakazi wa wilayani Iramba.

Akielezea matukio hayo,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti

DSC0017911

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU Wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la wanandoa wawili kuuawa na kisha nyumba yao kuchomwa moto na wao kuteketea pamoja na mali zao.

Wanandoa hao ni Ramadhani Lyanga (80) na mke wake Aziza Ally (60) wakazi wa kitongoji cha Kizega kijiji cha New Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Singida

DSC00179111

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari ya Eldersgate Manyara kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila.

Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela,alisema kuwa mwanafunzi huyo Uswile Lazaro (15) mkazi wa kijiji cha Ulemo tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba,amejinyinga juzi jioni huko katika kijiji cha...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WAUA BABA, MAMA KATIKA MATUKIO TOFAUTI NIGERIA

Mkono wa baba aliyeuliwa na mwanaye. POLISI katika Jimbo la Enugu, Nigeria, wanachunguza vifo ambapo wanaume wawili wasiokuwa ndugu, waliwaua baba na mama zao katika matukio mawili tofauti. Mauaji hayo yalitokea Aprili 26 Jumapili iliyopita na Aprili 27 Jumatatu ya wiki hii sehemu tofauti ambapo muuaji wa kwanza, Chijioke Onyeke, alimkata baba yake kwa panga mnamo saa 12 jioni katika ugomvi usiofahamika chanzo chake katika kijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani